Tetesi: Aziz Ki aaga Yanga SC, ahusishwa na Simba SC

SASA HIVI UTASIKIA MANENO MABAYA KUHUSU YEYE.YANGA IJAWAI KUMUACHA MCHEZAJI SALAMA
 
Hajaaga ila hata ikiwa sioni sababu ya kumchukua maana itakuwa ni siasa, yaani atasajiliwa kwa gharama ya kusajili wachezaji wengine wa kawaida.

Umsajili Ki kwa hizo gharama halafu atazungukwa na kina nani? Simba ifanye juhudi za maana kuleta wachezaji wa maana sio kujilipua na kuleta mchezaji mmoja wa maana azungukwe na wachezaji wa kawaida. Simba hatuitaji mchezaji mmoja mzuri ambaye gharama za usajili zina siasa ndani yake, Simba tunahitaji kikosi kizuri.

Unless Mo kajipanga haswa kibajeti.
 
anaondokaje inamaa hakuna hata taasisi iliyofikia bei kwa figo ya mzee mpili ili azizi k abaki yanga
 
Kwamba Thank you siku hizi linamaanisha Kwa kheri?
 
Aisee huyu ndo mwanahabari anaejiita msema kweli lakin kwa jicho la tatu ni mtu ambae anaumizwa sana na maendeleo ya yanga na ukitaka kujua hilo angalia makala zake utagundua % kubwa ni zile zenye mtazamo hasi kuhusu yanga hapo mtu kasema thank you maana yake asante lakin jamaa anakurupuka eti kaaga vp angesema goodbye,nawaza kwa sauti vipi yanga angefungwa na azam then stive Aziz asuse 🏅 lakin kwa sababu aliyesusa ni last born kajikausha kimyaa
 
Hawezi kwenda Simba bado yupo sana Yanga na anaipenda Yanga kutoka moyoni, Makolo mtasubiri sana.
Kutoka kumoyo sio [emoji23][emoji23] mbele ya pesa? Mna vichaa nyie! Aziz sio shabiki wa yanga, ni mfanyakazi wa yanga. Kama ilivyo mfanyakazi wa taasisi binafsi ama serikali anaondoka muda wowwote anapopata mshahara mkubwa zaidi ya alipo. Jipeni moyo. Tajiri wa sundown anavunja benki muda wowote.
 
Ila katolea maelezo kuwa alikuwa anashukuru tu support ya mashabiki zake na bado yupo sana
 
SASA HIVI UTASIKIA MANENO MABAYA KUHUSU YEYE.YANGA IJAWAI KUMUACHA MCHEZAJI SALAMA
Ni mazezeta tu! Hua hawapendi mchezaji aondoke, wanataka abakie hapo milele kama wamefunga nae ndoa ,,,wajinga sana hawajui watu wanatafuta maisha
 
kumbe source ni binti kazumari!!!
hamna kitu hapo...
 
Aziz ki Ni mfanyakazi tu hapo yanga,akipata team yenyewe maslahi makubwa hawezi kubaki,aache mshaara wa million sitini,Ni ngumu Sana ukizingatia ana miaka 29 hiyo Ni fursa kwake,kumbuka ana wakala wake anaemuongoza,all in all mda utaongea
 
Huyu jamaa akija unyamani itakua unyama sana. Hakuna mchezaji ninayemkubali pale yanga km huyu mwamba, tuki msinya na Mayele hawa yanga tutawapakata sana.
Uendelee kumkubali Aziz Ki maana haondoki Yanga, uwe unakuja kumshangilia.
 
Ni mazezeta tu! Hua hawapendi mchezaji aondoke, wanataka abakie hapo milele kama wamefunga nae ndoa ,,,wajinga sana hawajui watu wanatafuta maisha
Nonda Shabaan mpaka anacheza UEFA katokea wapi?
 
Huyu jamaa akija unyamani itakua unyama sana. Hakuna mchezaji ninayemkubali pale yanga km huyu mwamba, tuki msinya na Mayele hawa yanga tutawapakata sana.
Aziz kwenda Simba ni sawa na kutoka Ligi Mkuu ukacheze ndondo kitu ambacho hakiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…