Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
SASA HIVI UTASIKIA MANENO MABAYA KUHUSU YEYE.YANGA IJAWAI KUMUACHA MCHEZAJI SALAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaondokaje inamaa hakuna hata taasisi iliyofikia bei kwa figo ya mzee mpili ili azizi k abaki yangaView attachment 3009617
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji wenzie na Rais wa Yanga na kuwatakia kheir.
Ilikuwa ngumu kama ambavyo Bin Kazumari aliripoti awali kwamba kutoa dola za kimarekani 500,000/ (1.3bn) kwa mkataba wa miaka 2 na mshahara wa dola 20,000/ (54M) kwa mwezi ilikuwa ngumu sana kwa Yanga ambayo msimu ujao wanaweza kuhitaji saini ya PACOME, YAOYAO, Max, ambao wanamaliza mikataba yao pia.
Shariti gumu pia ilikuwa ni kupata walau dola za kimarekani 250,000/ up front wakati anasaini mkataba.
Wakati huo huo vyanzo mbalimbali vinaripoti kwamba Simba SC wanahusishwa na kuhitaji huduma ya kiungo huyo mchezesha timu na MVP namba 2 wa NBCPL na wao wamemuahidi kumpa mshahara wa dola 20,000 alizotaka na dola 200,000/ kama malipo ya awali (up front payment) huku Yanga wao waliishia mshahara wa dola 15,000 na “makubaliano maalumu” ya malipo ya mafungu, ambayo wapasha habari wanasema mwanadinga huyo kutoka Burkina Faso na wakala wake hawakuwa tayari kwa mpango huo.
Kama kweli wacha tuone nini kinafunguliwa na andiko hili la Aziz Ki kuaga. Yanga watakubali aondoke licha ya ahadi ya Rais wao kwamba wachezaji muhimu wote HAWATAONDOKA klabuni hapo? Kweli atajiunga na Mnyama?
BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Kwamba Thank you siku hizi linamaanisha Kwa kheri?View attachment 3009617

Unataka mpka uone neno bye bye?wasije mtupia majini maana uto hawataki kuachika..
Ila mbona hajaaga,? Au mi ndo sijui kiinglishi
Anawachokonoa mbumbumbu mpate cha kuongeaIla Jemedari anapenda sana kuwachokonoa wananchi 🤣
Kutoka kumoyo sio [emoji23][emoji23] mbele ya pesa? Mna vichaa nyie! Aziz sio shabiki wa yanga, ni mfanyakazi wa yanga. Kama ilivyo mfanyakazi wa taasisi binafsi ama serikali anaondoka muda wowwote anapopata mshahara mkubwa zaidi ya alipo. Jipeni moyo. Tajiri wa sundown anavunja benki muda wowote.Hawezi kwenda Simba bado yupo sana Yanga na anaipenda Yanga kutoka moyoni, Makolo mtasubiri sana.
Ni mazezeta tu! Hua hawapendi mchezaji aondoke, wanataka abakie hapo milele kama wamefunga nae ndoa ,,,wajinga sana hawajui watu wanatafuta maishaSASA HIVI UTASIKIA MANENO MABAYA KUHUSU YEYE.YANGA IJAWAI KUMUACHA MCHEZAJI SALAMA
Basi msiwe mnamtolea mapovu 😁 😁 😁Anawachokonoa mbumbumbu mpate cha kuongea
kumbe source ni binti kazumari!!!View attachment 3009617
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji wenzie na Rais wa Yanga na kuwatakia kheir.
Ilikuwa ngumu kama ambavyo Bin Kazumari aliripoti awali kwamba kutoa dola za kimarekani 500,000/ (1.3bn) kwa mkataba wa miaka 2 na mshahara wa dola 20,000/ (54M) kwa mwezi ilikuwa ngumu sana kwa Yanga ambayo msimu ujao wanaweza kuhitaji saini ya PACOME, YAOYAO, Max, ambao wanamaliza mikataba yao pia.
Shariti gumu pia ilikuwa ni kupata walau dola za kimarekani 250,000/ up front wakati anasaini mkataba.
Wakati huo huo vyanzo mbalimbali vinaripoti kwamba Simba SC wanahusishwa na kuhitaji huduma ya kiungo huyo mchezesha timu na MVP namba 2 wa NBCPL na wao wamemuahidi kumpa mshahara wa dola 20,000 alizotaka na dola 200,000/ kama malipo ya awali (up front payment) huku Yanga wao waliishia mshahara wa dola 15,000 na “makubaliano maalumu” ya malipo ya mafungu, ambayo wapasha habari wanasema mwanadinga huyo kutoka Burkina Faso na wakala wake hawakuwa tayari kwa mpango huo.
Kama kweli wacha tuone nini kinafunguliwa na andiko hili la Aziz Ki kuaga. Yanga watakubali aondoke licha ya ahadi ya Rais wao kwamba wachezaji muhimu wote HAWATAONDOKA klabuni hapo? Kweli atajiunga na Mnyama?
BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Uendelee kumkubali Aziz Ki maana haondoki Yanga, uwe unakuja kumshangilia.Huyu jamaa akija unyamani itakua unyama sana. Hakuna mchezaji ninayemkubali pale yanga km huyu mwamba, tuki msinya na Mayele hawa yanga tutawapakata sana.
Mbumbumbu kwa kingereza cha Ras Simba ataelewa vipi kilichoandikwa na Aziz Ki?Sijui kiingereza ila ninachojua Kii Bado yupo Yanga
Aisee huyu ndo mwanahabari anaejiita msema kweli lakin kwa jicho la tatu ni mtu ambae anaumizwa sana na maendeleo ya yanga na ukitaka kujua hilo angalia makala zake utagundua % kubwa ni zile zenye mtazamo hasi kuhusu yanga hapo mtu kasema thank you maana yake asante lakin jamaa anakurupuka eti kaaga vp angesema goodbye,nawaza kwa sauti vipi yanga angefungwa na azam then stive Aziz asuse 🏅 lakin kwa sababu aliyesusa ni last born kajikausha kimyaa
Nonda Shabaan mpaka anacheza UEFA katokea wapi?Ni mazezeta tu! Hua hawapendi mchezaji aondoke, wanataka abakie hapo milele kama wamefunga nae ndoa ,,,wajinga sana hawajui watu wanatafuta maisha
Aziz kwenda Simba ni sawa na kutoka Ligi Mkuu ukacheze ndondo kitu ambacho hakiwezekani.Huyu jamaa akija unyamani itakua unyama sana. Hakuna mchezaji ninayemkubali pale yanga km huyu mwamba, tuki msinya na Mayele hawa yanga tutawapakata sana.