Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijui ni kwanini Wanaume wengi wa Afrika Magharibi ni Washamba mno wa Mbunye na sishangai ndiyo maana Wanaume wa Afrika Mashariki tunawazidi Ujanja na Akili.

Kwa Hamisa Mobeto ninayemjua Mimi ningekuwa Mimi ndiyo nataka Kumuoa ningetoa Mahari ya Shilingi Elfu Hamsini za Kitanzania na Kuku Jike mmoja na Jogoo mmoja tu.

Gari bovu huwa haligharamiwi sana Oky?

Pia soma: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
 
Hehehe
 
Niishie tu kusema Mwana kasomeshwa gazeti la kufungia maandazi!
 
Yule muhuni wa kwetu Mbagala si alikaa naye bila kutoa ata shilingi kumi chafu sio? Sasa home boy wa Bukinabe kafeli wapi?

Eng.Said si huwa wanasema ni mtoto wa mjini kashindwa vipi kumsanua mwanetu?

Kila la kheri kwa KI Aziz
FT Ki Aziz 0 : Hamisa 3
 
Kwahio vijana wa Kitanzania mna muonea wivu Hamisa, mlitaka Aziz awashenyete nyie..?
Embu huo umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi wenu pelekeni kijijini kwenu waacheni waoane...
By the way hapo kwanza Kitaifa tumefaidika na hiyo ndoa...
 
Hata Mimi nimeshangaa viongozi wa yanga wanamwingiza Chaka mchezaji wao.
 
GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO
Hahaha

Nilipikua nasoma mkoani(vijijini huko) ticha alitufundisha jibu tofauti na hilo la chungu kaona kivuno.

Basi kama zari, tukahamia dar

Sasa siku moja tupo class halafu mie ndio mgeni, ticha akauliza

ganda la muwa la jana........(kibabe sana nikanyoosha mkono, ticha akanichagua nijibu, nikasimama kujibu)

halikosi sisimizi(nashangaa darasa zima linacheka mpaka ticha)

View: https://youtube.com/shorts/pC-fjd7pKBw?si=Vcu6kTrjXdT690gD
 
Waoaji siku zote sio watu wa mtaa mmoja,unakurupuka tu kutokea kwenu huko hutaki hata kujiuliza mara mbili,halafu mwenyewe anakwambia achana na marafiki wa kibongo waongo waongo sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…