jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Mkuu Aziz k ni Professional na siyo local player kwa hiyo ata wewe ukienda nchi za watu utauziwa bidhaa bei tofauti na wenyeji mfano yai moja linazwa mia tano wewe mgeni utauziwa elf tatuUkwer aziz k ametapeliwa akuna mahali y million 30 pale