Mkuu Aziz k ni Professional na siyo local player kwa hiyo ata wewe ukienda nchi za watu utauziwa bidhaa bei tofauti na wenyeji mfano yai moja linazwa mia tano wewe mgeni utauziwa elf tatuUkwer aziz k ametapeliwa akuna mahali y million 30 pale
Mkuu Aziz k ni Professional na siyo local player kwa hiyo ata wewe ukienda nchi za watu utauziwa bidhaa bei tofauti na wenyeji mfano yai moja linazwa mia tano wewe mgeni utauziwa elf tatu
HohohohoooooooooooWewe lile ndilo swali?
hohohohoooooUnataka nikuoe?
Hivi hii methali ya kiswahili huwa Ina maana Gani?mpaka Leo sijawahi elewa na Ile KATA PUA UUNGE WAJIHI,ama kweli safari za Marco polo ziligundua kiswahili π€£π€£π€£
Na Wewe pia Unaolewa lini na hizo Nuksi zako za Milele?π π π mtaumia sana ndo ishakuwa HamisaKi
πππ si ajabu alitengenezewa bikira feki., mjini hapaInawezekana Kii hajui kama Mobeto ana watoto.
Uyo pacome nae muda sio mrefu wadada wa mjini wanamdaka. Hapa wahuni wa mji wakina Mkude ndio wa kulaumiwa kwanini hawajamsanua mwanaDah sio poa man.Master KI alishindwa hadi kuomba ushauri mwanae Pacome
Na zile fuso mbili zilirudishwa Pugu? Maana ni 30+m nyingine hiyo.Wasanini nyie hamwajui......wanpenda kiki Hapo utakuta mahali hazidi 5M.
Mndhani azizi yeye ni kiazi?
7575Na Wewe pia Unaolewa lini na hizo Nuksi zako za Milele?
Itakuwa tarehe 15Na Wewe pia Unaolewa lini na hizo Nuksi zako za Milele?