Aziz Ki afunguliwe kesi ya kujaribu kuua!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Aziz Ki ashtakiwe na Jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya Jumapili jioni (murder case)

Shauri linasema kuwa, ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu kupitiliza alipopiga faulo ya hatari na nzito kuelekea lango la mpinzani hivyo kuhatarisha usalama wa golikipa ambaye si tu ni baba wa familia lakini pia ni kipa tegemeo la taifa.

Hili halikubaliki na liwe fundisho kwa wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia na Hewa manula sijui alikuwa ametupa vitu gani mle golini!!!

Viliona himars ikija, vikaamua acha tu ikae.
 
Yanga wamepata tawi la kushika wasisombwe na mafuriko ya club bingwa Afrika.
 
Ukame wa mabao toka asijiliwe tena kwa hela ilowafanya watu washindwe kwenda pre season lazima apige vile kuwapooza utopwizoo.
 
Kumridhisha mshabiki ni simple sana, wote tuna experience the same feelings

Sazi Mayele haongelewi tena?

Mayele sio stori kubwa ya ku catch attention za watu

Imefikia hatua shabiki wa Yanga akimsikia mwenzake akiongelea habari za Mayele inatafsirika kama ridiculous tu

Ngoja huko mbeleni tunakoenda ndiko majibu yalipo.

Tutaona huu upepo utaendelea kuvuma au nao utakata muda mfupi kama ambavyo tumezoea kuona siku zote.
 
Aziz ki ashtakiwe na jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya jumapili jioni(murder case)

Shauri linasema kuwa,ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu kupitiliza alipopiga faulo ya hatari na nzito kuelekea lango la mpinzani hivyo kuhatarisha usalama wa golikipa ambaye si tu ni baba wa familia lakini pia ni kipa tegemeo la taifa.

Hili halikubaliki na liwe fundisho kwa wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa na mwelewa Aishi Manula kwanini mechi za Yanga uwa anazikwepa Kwa kujifanya anaumwa au ameumia.
Nimechi zinazo mdhalilisha sana.
Ndugu Aishi nakushauri uendelee na utaratibu wako wa kujivunja siku za Derby la sivyo utaendelea kunyanyasika
 
Mabao mazuri ni mengi sana msimu huu. Hilo wala halitakua bao la msimu kisa kapiga kwa nguvu kama anarusha jiwe la fatuma? Yani kama vita jamani
 
Sasa na mwelewa Aishi Manula kwanini mechi za Yanga uwa anazikwepa Kwa kujifanya anaumwa au ameumia.
Nimechi zinazo mdhalilisha sana.
Ndugu Aishi nakushauri uendelee na utaratibu wako wa kujivunja siku za Derby la sivyo utaendelea kunyanyasika
Mechi ngapi na nyie mbona kujitoa akili jamani? Mechi moja sijui mbili nazo za kusema anaogopa na alikua majeruhi.Acheni story za vijiweni
 
Kombola kama Lile Lili wahi kupigwa na Hamisi Tobiasi Gaga wakati yupo Yanga dhidi ya Sigara. Shuti Lili chana Nyavu mpira ukaenda kuokotwa DUCE[emoji1][emoji1][emoji1]
Manura kuwa makini bado unawatoto wadogo na familia inakutegemea.
Simba hawana maana, ukiumia watakutelekeza, walisha wahi kula pesa za michango ya Marehemu Mafisango mbaka Leo ndugu za Marehemu wana kinyongo.
 
Ulivyaondika Kombola umenikumbusha Kambole

Hivi bado mnamficha kama mwali pale Avic Town?
 
Kombola kama Lile Lili wahi kupigwa na Hamisi Tobiasi Gaga wakati yupo Yanga dhidi ya Sigara. Shuti Lili chana Nyavu mpira ukaenda kuokotwa DUCE[emoji1][emoji1][emoji1]
Manura kuwa makini bado unawatoto wadogo na familia inakutegemea.
Simba hawana maana, ukiumia watakutelekeza, walisha wahi kula pesa za michango ya Marehemu Mafisango mbaka Leo ndugu za Marehemu wana kinyongo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mechi ngapi na nyie mbona kujitoa akili jamani? Mechi moja sijui mbili nazo za kusema anaogopa na alikua majeruhi.Acheni story za vijiweni
Jumapili aishi inaelezwa alilala usingizi wa kustukastuka sana,akawa anaota mara watu wamebeba jeneza,mara shehe anafanya dua...mara ubani..mara sauti za kina mama zikilia kwa uchungu kutokea uani kwao ...
Yaani hakulala kabisa usiku ule..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Jumapili aishi inaelezwa alilala usingizi wa kustukastuka sana,akawa anaota mara watu wamebeba jeneza,mara shehe anafanya dua...mara ubani..mara sauti za kina mama zikilia kwa uchungu kutokea uani kwao ...
Yaani hakulala kabisa usiku ule..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Umejua kunivunja mbavu walai,
Nasikia mbavu pia zinamuuma maana lile shuti la ndoige lilijua kumpaisha
 
Aziz Ki ashtakiwe na Jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya Jumapili jioni (murder case)

Shauri linasema kuwa, ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu kupitiliza alipopiga faulo ya hatari na nzito kuelekea lango la mpinzani hivyo kuhatarisha usalama wa golikipa ambaye si tu ni baba wa familia lakini pia ni kipa tegemeo la taifa.

Hili halikubaliki na liwe fundisho kwa wengine.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ushahidi wa mchoro wa kukusudia huko huu hapa👇
FB_IMG_1666719164439.jpg
 
Jumapili aishi inaelezwa alilala usingizi wa kustukastuka sana,akawa anaota mara watu wamebeba jeneza,mara shehe anafanya dua...mara ubani..mara sauti za kina mama zikilia kwa uchungu kutokea uani kwao ...
Yaani hakulala kabisa usiku ule..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kawaida sana..yani ukimjua kipa mwenye talent ndo Manula yani kujua tu kwamba mpira utapigwa wapi hyo ni moja ya talent kubwa aliyonayo. Huo urefu wa mpira kupigwa juu ilikua bahati tuu ila ungekua kimo chake angeuokoa. Manula namba one east and central Africa
 
Back
Top Bottom