ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Sasa na mwelewa Aishi Manula kwanini mechi za Yanga uwa anazikwepa Kwa kujifanya anaumwa au ameumia.Aziz ki ashtakiwe na jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya jumapili jioni(murder case)
Shauri linasema kuwa,ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu kupitiliza alipopiga faulo ya hatari na nzito kuelekea lango la mpinzani hivyo kuhatarisha usalama wa golikipa ambaye si tu ni baba wa familia lakini pia ni kipa tegemeo la taifa.
Hili halikubaliki na liwe fundisho kwa wengine.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mechi ngapi na nyie mbona kujitoa akili jamani? Mechi moja sijui mbili nazo za kusema anaogopa na alikua majeruhi.Acheni story za vijiweniSasa na mwelewa Aishi Manula kwanini mechi za Yanga uwa anazikwepa Kwa kujifanya anaumwa au ameumia.
Nimechi zinazo mdhalilisha sana.
Ndugu Aishi nakushauri uendelee na utaratibu wako wa kujivunja siku za Derby la sivyo utaendelea kunyanyasika
Ulivyaondika Kombola umenikumbusha KamboleKombola kama Lile Lili wahi kupigwa na Hamisi Tobiasi Gaga wakati yupo Yanga dhidi ya Sigara. Shuti Lili chana Nyavu mpira ukaenda kuokotwa DUCE[emoji1][emoji1][emoji1]
Manura kuwa makini bado unawatoto wadogo na familia inakutegemea.
Simba hawana maana, ukiumia watakutelekeza, walisha wahi kula pesa za michango ya Marehemu Mafisango mbaka Leo ndugu za Marehemu wana kinyongo.
Mtibwa amecheza na Namungo Leo😆😆Goli la leo la mtibwa sugar dhidi ya Namungo ni goli bora sana. Sio faulo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kombola kama Lile Lili wahi kupigwa na Hamisi Tobiasi Gaga wakati yupo Yanga dhidi ya Sigara. Shuti Lili chana Nyavu mpira ukaenda kuokotwa DUCE[emoji1][emoji1][emoji1]
Manura kuwa makini bado unawatoto wadogo na familia inakutegemea.
Simba hawana maana, ukiumia watakutelekeza, walisha wahi kula pesa za michango ya Marehemu Mafisango mbaka Leo ndugu za Marehemu wana kinyongo.
Jumapili aishi inaelezwa alilala usingizi wa kustukastuka sana,akawa anaota mara watu wamebeba jeneza,mara shehe anafanya dua...mara ubani..mara sauti za kina mama zikilia kwa uchungu kutokea uani kwao ...Mechi ngapi na nyie mbona kujitoa akili jamani? Mechi moja sijui mbili nazo za kusema anaogopa na alikua majeruhi.Acheni story za vijiweni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Jumapili aishi inaelezwa alilala usingizi wa kustukastuka sana,akawa anaota mara watu wamebeba jeneza,mara shehe anafanya dua...mara ubani..mara sauti za kina mama zikilia kwa uchungu kutokea uani kwao ...
Yaani hakulala kabisa usiku ule..
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ushahidi wa mchoro wa kukusudia huko huu hapa👇Aziz Ki ashtakiwe na Jamhuri kwa kosa la kujaribu kuua kwa kukusudia siku ile ya Jumapili jioni (murder case)
Shauri linasema kuwa, ndugu Ki Aziz akiwa na akili zake timamu alitumia nguvu kupitiliza alipopiga faulo ya hatari na nzito kuelekea lango la mpinzani hivyo kuhatarisha usalama wa golikipa ambaye si tu ni baba wa familia lakini pia ni kipa tegemeo la taifa.
Hili halikubaliki na liwe fundisho kwa wengine.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kawaida sana..yani ukimjua kipa mwenye talent ndo Manula yani kujua tu kwamba mpira utapigwa wapi hyo ni moja ya talent kubwa aliyonayo. Huo urefu wa mpira kupigwa juu ilikua bahati tuu ila ungekua kimo chake angeuokoa. Manula namba one east and central AfricaJumapili aishi inaelezwa alilala usingizi wa kustukastuka sana,akawa anaota mara watu wamebeba jeneza,mara shehe anafanya dua...mara ubani..mara sauti za kina mama zikilia kwa uchungu kutokea uani kwao ...
Yaani hakulala kabisa usiku ule..
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app