Aziz Ki, Akaminko, Moloko na Diara waache kutuharibia Ligi yetu

Aziz Ki, Akaminko, Moloko na Diara waache kutuharibia Ligi yetu

Hata mpira wa ulaya huwez kuta ushamba kama wa aziz k.
Sijui ni kutaka kuonyesha mguu wake au mapaja ,ulaya wapo akina Grelish wana misuli haswa na vigimbi ila huwez kuta ushamba kama huo.
Kama bukta ni kubwa kwake kwann wasimshonee size yake ?
Ukija Kwa moloko ndio vituko sijui moloko anataka kuonyesha nn maana miguu ya spoko .
Ukija Kwa akaminko ni ameiga Toka kwa Aziz k maana mwanzo alikua havai hivo.
Bahat mbaya hawa wachezaj ndio kwanza wanakosa hata mvuto .
Mbona mayele pamoja na kuwa na impact kubwa uwanjan Hana huo ushamba?
Aziz k alionywa na refa muarabu kuwa ashushe bukta na ilikua aibu sana Ile ,lakin Bado anaendeleza huo uhuni.
Sheria hapa ziongezwe hasa kipengele Cha nidham had ya uvaaji
 
Kupitia huu uzi nimegundua akili za mashabiki wa yanga ni ndogo sana ndio maana manara kawakamata masikio kila kitu ndio
 
Nilidhani ni mimi peke yangu ninaye kereka kumbe tupo wengi
 
Back
Top Bottom