Aziz Ki alivyompoteza SAKHO kwenye magoli ya CAF Confederation Cup

Aziz Ki alivyompoteza SAKHO kwenye magoli ya CAF Confederation Cup

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.

Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa mitandao ya kijamii ya CAF katika kuweka kurasa zao active.

Kwa kifupi
AZIZ kuongoza kwa magoli ni FACT

SAKHO kuwa na goli bora ni OPINION

top scorer.jpg

NB: naombeni ulinzi
Chanzo 2021–22 CAF Confederation Cup - Wikipedia
 
asa wewe sijui unaandika ubwabwa gani hapa

Golo bora la kafu ni goli ambalo lina mashiko na limepatikana kitaalam na kwa staili ya pekee

Huyo ki amefunga kwa kutumia matako unataka naye tumpongeze?

Yani nyie utopolo mna mammo ya upinde wa mvua sana
 
mimi sijui mpira ila tu ni mfuatiliaji wa takwimu na ni young africans die hard fan
ila kwa hapa nadhani ni fact vs opinion
Hiyo opinion iko based kwenye criteria ya goli Bora.

Je, vigezo vya kulipata goli Bora vilivyotumika unavifahamu?

Au una unafikiri hayo magoli yanayoshindanishwa yalitokana na maoni mitandaoni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakho anawavurugaa utopoloooo atakavyoooo. Yaan anawanyunyiza pili pili.

Woiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sakho anawavurugaa utopoloooo atakavyoooo. Yaan anawanyunyiza pili pili.

Woiiiiiiih
Alikuwepo mechi zote vs mwananchi Kuna alichofanya cha ajabu?tunavurugwaje na ka andunje
 
Kwenye tuzo za caf 2022 watu wanamjua Sakho na washiriki wengine uyo Aziza kwasasa awamfatilii.
 
Alikuwepo mechi zote vs mwananchi Kuna alichofanya cha ajabu?tunavurugwaje na ka andunje
Vipi ushapiga kura??

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mimi sijui mpira ila tu ni mfuatiliaji wa takwimu na ni young africans die hard fan
ila kwa hapa nadhani ni fact vs opinion
Sasa wewe baki na fact ila kumbuka pia ni fact kuwa no one remembers the second place.
Opinion leo inakuja na tuzo na kitita cha maana juu.
 
mimi sijui mpira ila tu ni mfuatiliaji wa takwimu na ni young africans die hard fan
ila kwa hapa nadhani ni fact vs opinion
Kwahiyo Sakho anafuata mfungaji bora? Au goli bora??? Kwanini mnataka sana siasa kila sehemu??? Acheni utoto
 
Back
Top Bottom