Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwiga Omera aibu yako hiiUkizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa mitandao ya kijamii ya CAF katika kuweka kurasa zao active.
Kwa kifupi
AZIZ kuongoza kwa magoli ni FACT
SAKHO kuwa na goli bora ni OPINION
View attachment 2298302
NB: naombeni ulinzi
Chanzo 2021–22 CAF Confederation Cup - Wikipedia
Mkuu umefafanua vizuri ila ni kama umempigia mbuzi gitaa,huyo jamaa siyo mtu wa mpira yeye ni mbobevu wa kunywa uji tu.Watu hapa badala ya kumuelimisha mleta uzi tofauti kati ya goli bora la msimu na mfungaji bora wa msimu wao wanamdhihaki. Ngoja mimi nijaribu kumwelimisha mleta uzi.
1. Mfungaji bora wa msimu. Huyu ni yule mchezaji aliyefunga idadi kubwa ya mabao ktika msimu mzima wa mashindano kuwazidi wachezaji wenziwe wote. Hapa mara nyingi kuna kuwa hakuna kupiga kura kumchagua mshindi bali mshindi hutokana na kuhesabu tu nani ana magoli mengi.
2. Goli bora la msimu ni lile goli linalofungwa katika hali isiyo ya kawaida na zaidi sana katika hali ya ufundi na kufuraisha watazamaji. Hapa huteuliwa baadhi ya magoli halafu watu hupewa nafasi ya kupigia kura goli mojawapo kati ya magoli kadhaa yaliyochaguliwa. Kikubwa vigezo na masharti kutoka kwa waandaaji wa tuzo husika huzingatiwa.
Kwa hiyo Sakho japo ana magoli machache lakini yupo Morocco na Babra kwenye tunzo sasa hivi kwa sababu mojawapo kati ya hayo magoli yake machache lile lgoli lake tamu la "bicycle kick" limeingia fainali kati ya magoli matatu bora kabisa.
Ni mtizamo wangu kuwa mleta uzi utakuwa sasa umeelewa kwa kiasi fulani tofauti kati ya mfungaji bora na mfungaji wa goli bora la mashindano.
Kichwa kimejaa uji badala ya ubongoUnataka kichwa kikubwa,lakini huelew mambo madogo madogo na hutaki kujifunza.
Kama imeingia na kuuma ichomoe Mkuu..Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa mitandao ya kijamii ya CAF katika kuweka kurasa zao active.
Kwa kifupi
AZIZ kuongoza kwa magoli ni FACT
SAKHO kuwa na goli bora ni OPINION
View attachment 2298302
NB: naombeni ulinzi
Chanzo 2021–22 CAF Confederation Cup - Wikipedia
ushamba ni mzigoDah.. Inaniuma Sana Mimi Young African die hard fan Kila nikifikiria.
Yaani Sakho hivi tunavyoongea Yupo Morocco hlf Aziza tunaye huku KIMBIJI.
CAF Wanatuhujumu haiwezekani.
Mtaumia sana na Aziz Ki Mwaka huuYanga tunaenda kushitaki CAS haipendezi na haiwezekani aziza kinabo amfunike SAKHO kwa magoli bora matatu halafu asiwepo kwenye list. Hatukubali kabisa. Tunaenda fifa.
hivi kumbe JF kuna watu wenye miandiko hiiasa wewe sijui unaandika ubwabwa gani hapa
Golo bora la kafu ni goli ambalo lina mashiko na limepatikana kitaalam na kwa staili ya pekee
Huyo ki amefunga kwa kutumia matako unataka naye tumpongeze?
Yani nyie utopolo mna mammo ya upinde wa mvua sana
makolo bwana kila saa wanawaza matusi tuKama imeingia na kuuma ichomoe Mkuu..
Haina kura hiyo siyo opinionTupe linki tumpigie aziz k goli bora la mwaka akiwa pale avic town
wewe ndo unaleta siasaKwahiyo Sakho anafuata mfungaji bora? Au goli bora??? Kwanini mnataka sana siasa kila sehemu??? Acheni utoto
haya maneno ya mipasho hayaUnateseka. Ukiwa kata gani vile[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
chicken headUnateseka. Ukiwa kata gani vile[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani hii habari ya Aziz Ki si ni wewe mwenyewe umeileta hapa kiboya? Wewe kanywe uji tu na ushamba wako, au kwa vile domo lako na lake yamefanana ndiyo unamshobokea hivyo?Mtaumia sana na Aziz Ki Mwaka huu
Wewe si ni Manara wewe? Ngoja tukuchomee na huku upigwe ban unatakiwa muda huu uwe kwenye kiduka cha mkeo kule temeke unasaidia kuuza rangi za kucha sasa shupaza tu shingo humuUkizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa mitandao ya kijamii ya CAF katika kuweka kurasa zao active.
Kwa kifupi
AZIZ kuongoza kwa magoli ni FACT
SAKHO kuwa na goli bora ni OPINION
View attachment 2298302
NB: naombeni ulinzi
Chanzo 2021–22 CAF Confederation Cup - Wikipedia
Basi chukua hiyo kapige nayo pichaHaina kura hiyo siyo opinion