Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE

Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!!

Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
 
Attachments

  • FB_IMG_1713171363391.jpg
    FB_IMG_1713171363391.jpg
    45 KB · Views: 4
AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE

Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!!

Nyie Hamuogopiiiiii.....???[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
hii imekaa poa
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
 
Viongozi wa Simba , Mo na genge lake mmefanya simba ionekane kama maji maji ya songea,kila mtu anataka kujipigia tu
Ni kwaida sana kwenye soka na hata maisha kuwa na ups and downs. Angalia Man u au Chelsea thus ni jambo la mpito tu
 
Ni kwaida sana kwenye soka na hata maisha kuwa na ups and downs. Angalia Man u au Chelsea thus ni jambo la mpito tu
Huu unaoongea ni upumbavu mtupu kama utalinganisha simba ma Man U ama Chelsea.
Kitu ambacho hujui ni kwamba timu Uingereza zinakuwa na matokeo yasiyotabirika siyo haya ya sasa hapa kwetu kila mtu anajihesabia atafunga!
Aziz,Pakome,Mudahir,Mzize,Nzengeli,na wajinga wengine watakaofanyiwa sub wana magoli yao.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom