Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

Tetesi: Aziz Ki anaondoka Yanga

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.

Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.

Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.

Pia soma
- Tetesi: - Aziz Ki anataka Dola laki tano kubaki Yanga
 
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.

Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.

Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.
Sawa umesikika tuma salamu kwa watu watatu
 
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.

Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.

Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.
Mrithi wake atapatikana tu kwani siyo mchezaji wa maisha wa timu ya yanga sc
 
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.

Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.

Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.
Mbadala wake nani?
 
Uongozi wa Yanga unajua wanachofanya, sina wasiwasi nao. Watakayemleta mtu sahihi kwa gharama watakayoona wanaimudu
 
Ni kweli kabisa, hizi timu lazima ziwe na mipaka ya matumizi. Aziz Ki kama kwenda aende. Yanga wapambane tu kupata mbadala sahihi watakayemudu kumlipa. Pacome akiwa fiti sio pengo kubwa kihivyo.
 
Una pacome bado unataka watu waumie kuondoka kwa Azizi key!, timu lazima iwe na limit ya matumizi ya pesa huwezi kushindana na wanaomtaka.
 
Aziz akienda kucheza South Labda aende mamelodi kwingine atachuja sana.
Halafu wanawezaje kwenda kucheza south mi napaona kama warzone
Tangu wamuue yule HB wa kaizer chiefs nmeona ni sehemu ya hovyo mpk kwa michezo jamani
 
Hata Gamondi akitaka kujiunga nae waende tu. Players come and goes. We will find replacements na kila kitu kitakuwa shwari.
 
Back
Top Bottom