sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Sawa umesikika tuma salamu kwa watu watatuAziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.
Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.
Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.
Mrithi wake atapatikana tu kwani siyo mchezaji wa maisha wa timu ya yanga scAziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.
Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.
Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.
Mbadala wake nani?Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.
Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.
Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae.
Mimi ni Diarra na doctor AuchoMimi Diarra tu ndio ataniuma akiondoka, wengine wote kila la kheri.
Hakuna timu yeyote kubwa inayomtaka, lasi hivyo angesepa.Mimi Diarra tu ndio ataniuma akiondoka, wengine wote kila la kheri.
Ni kweli kabisa, hizi timu lazima ziwe na mipaka ya matumizi. Aziz Ki kama kwenda aende. Yanga wapambane tu kupata mbadala sahihi watakayemudu kumlipa. Pacome akiwa fiti sio pengo kubwa kihivyo.Uongozi wa Yanga unajua wanachofanya, sina wasiwasi nao. Watakayemleta mtu sahihi kwa gharama watakayoona wanaimudu
Mimi sinza pazuri , salamu yangu ya kwanza imfikie Dayamond. Ya pili kwa Zuchu na salamu yangu ya Tatu imfikie yule dogo ambaye Dayamond alimnunulia cheni ya Tsh 150M.Sawa umesikika tuma salamu kwa watu watatu
Oya kesho tutaenda kufukua kaburi la mwasibuMwasibu wetu ana maoni gani katika hili? Hasara ya milioni 400 ya Yanga itapungua au itaongezeka? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji16]