Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Apr 13, 2024 #21 Ki Aziz Yuko vizuri anaonekana hana mbambambaa kama wachezaji wengine Cc Smart911
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,122 Reaction score 4,699 Jun 7, 2024 #22 Uko sahihi, jamaa ni mstaarabu hagombani na wapinzani hata akichezewa rafu wala hana tabia ya kulalamika kwa marefa.
Uko sahihi, jamaa ni mstaarabu hagombani na wapinzani hata akichezewa rafu wala hana tabia ya kulalamika kwa marefa.