Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mkuuu m n Yanga damu azizi ki kaja kupokea thnkyuuu dogoo anaelekea kusikojulikana na club inatasema ukweli mda ukifika nikokwamassaweAziz Ki, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumzikoni kwao Burkina Faso kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3.
No Worries, He is here to Stay Cc ephen_Uto muda wote wanamuwaza Aziz Ki mna Chama wasiwasi wa nn,mwacheni aende akatafute changamoto nyingine
Azizi Alisha fika ukomo wa mkataba wake pale Yanga Sasa Yanga wanamlazimishaje?Uto muda wote wanamuwaza Aziz Ki mna Chama wasiwasi wa nn,mwacheni aende akatafute changamoto nyingine
Haya maneno kayatamka yeye ?Timu zinazo muhitaji ni Nyingi na zinaushawishi mkubwa ila ameichagua Yanga.
Aziz hawezi kucheza shirikishoAziz k atasalia yanga kwa msimu mwingine ujao, hana kiwango cha kucheza soccer la S.Africa au Morocco au kwa Mafarao ....
Huu ndiyo ukweli...
Akiondoka Yanga labla akasajiliwa Super Eangle ya kenya
ThlxuAzizi ki mchezaji mkubwa.
laZima abaki team kubwa hawezi kucheza shirikisho huko umb
Aziz hawezi kucheza shirikisho
Mbumbumbu mnajisumbua laZima acheze Club bingwa
Project yake hajamaliza ambayo ni kutwaa ubingwa wa Africa 🌍Azizi Alisha fika ukomo wa mkataba wake pale Yanga Sasa Yanga wanamlazimishaje?
Ukiona amerudi na kucheza Yanga basi ameridhika na yaliyomo katika mkataba wake mpya, Timu zinazo muhitaji ni Nyingi na zinaushawishi mkubwa ila ameichagua Yanga.
Hiyo timu uliyo itaja ipo kenya ??Aziz k atasalia yanga kwa msimu mwingine ujao, hana kiwango cha kucheza soccer la S.Africa au Morocco au kwa Mafarao ....
Huu ndiyo ukweli...
Akiondoka Yanga labla akasajiliwa Super Eangle ya kenya