Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #21
simba awana hiyo helaKwenye dirisha kubwa lijalo la usajili tutamuuza simba kwa bilioni 3! Nasikia kocha aliye timuliwa (Robertinho), alimpendekeza awemo kwenye kikosi kama mbadala wa Chama.