Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
-
- #21
simba awana hiyo helaKwenye dirisha kubwa lijalo la usajili tutamuuza simba kwa bilioni 3! Nasikia kocha aliye timuliwa (Robertinho), alimpendekeza awemo kwenye kikosi kama mbadala wa Chama.
aziz is ready made player, no improvement can be doneKwa hiyo comment emu apply kazi ya ukocha tuone utafanyaje.
hana .Kwani hana kiwango cha kucheza ufaransa kama tulivoaminishwa?
Kama ni hivyo, hizo goli alizofunga alikuwa anafungaje ikiwa anapoteza mipira yote??position loss, he lose all the balls
wastefulness ni tatizo kwa kila timu, gardiola anawatimua players kama yeye modern football awawaitajiKama ni hivyo, hizo goli alizofunga alikuwa anafungaje ikiwa anapoteza mipira yote??
Alafu nakushauri,achana na lugha ya Kiingereza. Komaa na Kiswahili tu.
watakuwa wanalipa, maana bima ni mandatory na vyeti piaAlafu next season anaflop....!!! By the hivi hawa wachezagi wa kigeni hasa hasa wa yanga wanalipa kodi kweli hawa???😒
Kwahiyo unashauri na Yanga wamfukuze Aziz Ki?wastefulness ni tatizo kwa kila timu, gardiola anawatimua players kama yeye modern football awawaitaji
Hata mimi nimehisi hivyo ingawa kaongeza miaka miwili tuNi mpango mzuri wa kumuuza kwa pesa ndefu.
Welldone Yanga
replacement kwenye market amna. yanga had no choice. but to extendKwahiyo unashauri na Yanga wamfukuze Aziz Ki?
this i doubt, fans wapo 50/50Good news for Young African Sc Fans.
Unatokana na jinsi anavyowatesa makolo mkuuU-ovyo wake unatokana na nini?