kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani.
Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye matokeo.
Aziz Ki hajapata muda wa kupunzika tangu atue Yanga kutoka kwao, hajapata muda wa kupunzika na kutafakari na alikuwa hajacheza kwa kiwango chake kilichosababishwa asajiliwa Yanga, lakini Chama ameingia kwenye kikosi cha Simba polepole hadi sasa kuwa wa moto wa kuotea mbali kwenye timu yake.
Hii inamaanisha kuwa adhabu hii ya kukosa kucheza mechi 3 mfululizo itamnufaisha Aziz na Yanga kuliko Chama na Simba kwakuwa Aziz sasa atapata muda wa kutafakari zaidi akiwa nje juu ya nini aboreshe kurudisha makali yake na pengine kupata muda wa kupona majereha yake madogomadogo kama anayo lakini alikuwa akiyaficha kwa kuogopa kuliudhi benchi la ufundi na hofu ya kukosa namba.
Nionavyo mimi Kavulata.