Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

Ona, hapo Aziz ametokea bench tu, hebu fikiria atakuwaje kama atatokea kukosa mechi 3. Kumbuka kuwa Aziz hajawahi kutokea benchi wala kupunzishwa tangu ajiunge Yanga,

Huyu anacheza hata arsenal na kupata namba,
 
Back
Top Bottom