Aziz Ki Kufungiwa kucheza mechi 3 ni faida kwake kuliko Clatous Chama

Sa mtu kufungiwa kucheza ni faida kivipi??jamani
 
Ona, hapo Aziz ametokea bench tu, hebu fikiria atakuwaje kama atatokea kukosa mechi 3. Kumbuka kuwa Aziz hajawahi kutokea benchi wala kupunzishwa tangu ajiunge Yanga,
Huyu anacheza hata arsenal na kupata namba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…