Aziz Ki kumuoa Hamisa: Mama yake mzazi amtolea Uvivu Rais wa Yanga SC Injinia Hersi kuacha kuwa na kimbelembele

Hili nalo litapita, Hamissa Mobeto ni mjasiriamali mikubwa upande wa wanawake kuwahi kutokea Tz
 
Wabongo ni wanafiki na mna chuki za kishamba sana eti anagawa!!! Kwahiyo kama kaitembeza akaamua atulie na mmoja wanayependana Kuna shida Gani? Nina uhakika kati ya nyinyi mnaomponda Hamisa hakuna mwenye bikra au aliyetoa Mwanamke mwenye bikra sasa sijui hiyo nguvu ya kumnyoshea kidole mnaitoa wapi
 
Mama wa Azizi amestukia huo mchezo wa kumfilisi mwanae.
Kasema mwanae karogwa.
Anasema Kwanini wazazi hawajajukishwa ?!
 
sasa watanzania mnatoa ushauri wa kazi gani acheni ujuaji wa kishamba
 
Tafsiri yako kuhusu hii post siyo kwamba haiko sawa, ila the whole message iko completely distorted.

Ni hivi, mama anamlaumu Hersi, mwanaye na mkwewe mtarajiwa, maana ndoa hii haina baraka upande wa Ki. Nao walisikia tu kwanza kwenye social media.
Mbayq zaidi bi harusi wala hajajipa muda kuwafahamu ndugu wa Ki.

Kwa ujumla wanahisi siyo maamuzi ya kijana wao wanayemjua, akiamka hakuna ndoa hapo kwa mujibu wa bimkubwa na wanategemea hilo.

Hii ni ndoa fake na kijana alipoamua kumjulisha mzazi wake baada ya kusikia kwenye social media hawakufikia muafaka, mama anadai kijana hadi anadiriko kumtukana mamaye ili waache ndoa yake ifanyike. Hapa familia haiitaki ndoa hii na wanahisi Yanga wanafanya haya kumbakisha Ki Bongo.
 
Unatuambia, Unatuelekeza au Unatugombeza?
 
Siamini Mama wa Aziz Ki anaandika kiingereza kibovu vile.
Hii wametengeneza wabongo wenye wivu.
Haandiki kiingereza. Kule hawaongei kiingereza, ni translations kwenda ngeli ndo inazinguaga especially kama kulikuwa na typing errors
 
Unajuwa hata mimi nimestaajabu kwa kweli, yaani hakuna hata mjomba au cousins wake na Aziz Ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…