Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo litapita, Hamissa Mobeto ni mjasiriamali mikubwa upande wa wanawake kuwahi kutokea TzMama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye kushirikishwa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa
"Hersi ngoja nikuambie kitu, wewe si mtu wa kupanga harusi ya mwanangu, wewe ni kiongozi masikini tu anayetaka kwa hali yoyote kwa damu au moto, kumbakisha kijana huyu Tanzania.
"Unaweza kuandaa harusi yake ikiwa ana furaha alhamdoulilah... Lakini usimtajie kile ambacho si Kweli... Unatumia maisha yako kusema uwongo. Hiyo ni wewe usiiweke familia hii ya thamani katika upuuzi wako, sawa?, Usijali atakua Mungu ni mmoja.
"Vipi nimekupa ruhusa ya kuandaa na wakati sipo, inakuwaje?, Inakuwaje msichana anataka Mwanaume bila kujaribu kujua familia yake, Ilikuwa sehemu ya mkataba wake, kazi na mpira wa miguu ndivyo hivyo."- Ameandika Sanata Ki.
Chanzo: manaratv
Hii Ndoa kwa Mapungufu kadhaa ninayoyaona ikidumu Mwaka Mmoja basi 'Nitaukweka' kutoka Kampala hadi Dodoma.
Tutolee umaskini wako hapa. 😀😀😀Mimi kinachoniuma ni mahari ya 30 milioni wakati ni double single mother.
Nimelia sana Kwa kweli aisee
Siamini Mama wa Aziz Ki anaandika kiingereza kibovu vile.Mama ake ki nae ni mjinga tu,anatakiwa apambane na mwanae sio tena rais wa yanga
Hili nalo litapita, Hamissa Mobeto ni mjasiriamali mikubwa upande wa wanawake kuwahi kutokea Tz
Endeleeni kusapoti upuuzi,,atakuja kujutia Kila single penny aliyopoteza Kwa single motherTutolee umaskini wako hapa. 😀😀😀
Hata Mimi nawaza hivyo hivyo kuwa Kapewa.Usikute kapewa mixx by yas
Unatuambia, Unatuelekeza au Unatugombeza?Tafsiri yako kuhusu hii post siyo kwamba haiko sawa, ila the whole message iko completely distorted.
Ni hivi, mama anamlaumu Hersi, mwanaye na mkwewe mtarajiwa, maana ndoa hii haina baraka upande wa Ki. Nao walisikia tu kwanza kwenye social media.
Mbayq zaidi bi harusi wala hajajipa muda kuwafahamu ndugu wa Ki.
Kwa ujumla wanahisi siyo maamuzi ya kijana wao wanayemjua, akiamka hakuna ndoa hapo kwa mujibu wa bimkubwa na wanategemea hilo.
Hii ni ndoa fake na kijana alipoamua kumjulisha mzazi wake baada ya kusikia kwenye social media hawakufikia muafaka, mama anadai kijana hadi anadiriko kumtukana mamaye ili waache ndoa yake ifanyike. Hapa familia haiitaki ndoa hii na wanahisi Yanga wanafanya haya kumbakisha Ki Bongo.
Haandiki kiingereza. Kule hawaongei kiingereza, ni translations kwenda ngeli ndo inazinguaga especially kama kulikuwa na typing errorsSiamini Mama wa Aziz Ki anaandika kiingereza kibovu vile.
Hii wametengeneza wabongo wenye wivu.