Aziz Ki mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024(MVP)

Aziz Ki mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024(MVP)

Jf imeshindwa kuja na updates za hizo tuzo..
Bure kabisa
 
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki amechukua tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024.

Tuzo hii kwa Aziz Ki inakuwa tuzo ya tatu usiku wa leo, akiwa amechukua tuzo ya Kiungo bora wa msimu, Mfungaji bora wa msimu na pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu.

Aziz Ki alikuwa anawania tuzo ma wachezaji kama vile, Feisal wa Azam, Kipre Jr wa Azam, Yao wa Yanga, Ibrahimu Bacca wa Yanga, Matampi wa Coastal Union, Diarra wa Yanga na Muhamed Hussen wa Simba.Soma zaidi: Thread 'Stephane Aziz Ki Kiungo bora wa msimu 2023/2024' https://www.jamiiforums.com/threads/stephane-aziz-ki-kiungo-bora-wa-msimu-2023-2024.2241134

View attachment 3059030
Kikosi Bora cha msimu....lete hapa.
 
Back
Top Bottom