Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu.
Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora wake kwa kufanya mambo mengi uwanjani kitu kinachofanya apoteze utulivu na umakini wa maamuzi yake ya mwisho, lakini namtabilia mambo makubwa mbeleni kwani namuona kabisa atakuja kuwa mchezaji hatari sana pindi akiingia vizuri kwenye mfumo ni suala la muda tu atawajibu kwa vitendo wanaombeza sasa hivi