Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Ukoo sahihi,Kweli jamani mechi kama hizi za Zalan ndio kipimo cha kuwathibitishia watu waliokuwa wana wasiwasi na uwezo wa mchezaji mwenye thamani ya milion 400?
Ila siyo mbaya acha aendelee kupata confidence
Kipimo tosha ni aidha ni St George au Al Hilal
Acha tusubiri maana hizo mechi ni ngumu ningetamani sana kuzichike live leo hii hasa ya St George ili nione ubora wao