Aziz ki mdogo mdogo ataanza kuwaziba watu midomo, Gari lake likiwaka itakuwa balaa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu.

Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora wake kwa kufanya mambo mengi uwanjani kitu kinachofanya apoteze utulivu na umakini wa maamuzi yake ya mwisho, lakini namtabilia mambo makubwa mbeleni kwani namuona kabisa atakuja kuwa mchezaji hatari sana pindi akiingia vizuri kwenye mfumo ni suala la muda tu atawajibu kwa vitendo wanaombeza sasa hivi
 
Mchezaji mzuri sana, Hana bahati na magoli lakini anapiga pasi kama Luka Modric
 
Azizz K hafanani kabisa na kiungo mwenye spidi ya konokono. AZZ daraja lake lajuu sana.
Umejikaza kabisa kuandika hivyo chama na khabar nyingne na nyie mnamtambua
 
Kweli jamani mechi kama hizi za Zalan ndio kipimo cha kuwathibitishia watu waliokuwa wana wasiwasi na uwezo wa mchezaji mwenye thamani ya milion 400?
 
Walianza na mayele sasa hivi wapo na aziz ki,kesho kwa farid musa,ila fei toto hawamtaji,
Leo alivyopiga shuti la mbali nimewaona wana Yanga wakipiga mayowe

Magoli ya zali na abracadabra ndio kitu Feisal kazoea
 
Hata kambole watu walikesha kumsubiria na mkasema ni kiboko wa mayele ila mwisho wa siku hajacheza hata mechi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…