Ukoo sahihi,Kweli jamani mechi kama hizi za Zalan ndio kipimo cha kuwathibitishia watu waliokuwa wana wasiwasi na uwezo wa mchezaji mwenye thamani ya milion 400?
Huyo K hana utofauti na Ambundo!Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu.
Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora wake kwa kufanya mambo mengi uwanjani kitu kinachofanya apoteze utulivu na umakini wa maamuzi yake ya mwisho, lakini namtabilia mambo makubwa mbeleni kwani namuona kabisa atakuja kuwa mchezaji hatari sana pindi akiingia vizuri kwenye mfumo ni suala la muda tu atawajibu kwa vitendo wanaombeza sasa hivi
HakikaAziz Ki ni Chama anayechipukia, sioni namna yoyote inayoweza kumzuia asifunike hili soka la Tz na Afrika katika msimu huu na msimu ujao.
Acha kupotosha na picha za ku edit hilo tobo la tshabalala sawa ila hyo ya kanoute kwa aziz ki huo ni uongo aziz ki mpaka alimkimbia kanoute akaenda pembeni hakufua dafu mbele ya Putin mpaka alipotolewa kanoute ndo mkafunga magoli yenu ya michongo.
Jitahidi uwe una angalia mpira ukiwa soberAcha kupotosha na picha za ku edit hilo tobo la tshabalala sawa ila hyo ya kanoute kwa aziz ki huo ni uongo aziz ki mpaka alimkimbia kanoute akaenda pembeni hakufua dafu mbele ya Putin mpaka alipotolewa kanoute ndo mkafunga magoli yenu ya michongo.