Aziz Ki na Mama yake Mzazi

Aziz Ki na Mama yake Mzazi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Pichani Aziz Ki ni mchezaji bora, anayeogopewa zaidi na mabeki wengi na ndiye aghali zaidi nchini Tanzania na Afrika mashariki Stephan Aziz Ki akiwa na mamake Mzazi


Aziz Ki anachezea Klabu ya Yanga ambayo inaongoza ligi kuu ya NBC huku inatarajia kutetea huo kwa mara ya nne mfululizo.
1714729649174.jpg
 
Back
Top Bottom