kiula neema
Member
- Mar 22, 2021
- 72
- 105
Mtaongea Sana lakini medali tunavalishwa tangu muchuano hii ianza Makolo wengi walikuwa wanaumwa vidonda vya tumbo Ila Jana wengi wamepata auheni poleni Sana.Yanga sawa wamefika fainali lakini tukiangalia kiubora waarabu wako juu kabisa.
Nilisema kabla ya mechi kwamba Yanga kwa ile backline iangalie sana na ndio imewaua na ndio inaenda kuwaua huko Algeria kwani kwa washambuliaji wenye kasi mabeki wa Yanga hawawezi ku-cope nao na ndicho kilichowaua hata kwenye mechi yao na Simba ya 2-0. Mtaniambia tarehe tatu.
Hapo mwisho naungana na wewe, huwezi kujisifia kwakuifunga timu iliyoshuka jaraja.Umesema kweli. Japo mimi nilikuwa nashabikia waarabu lakini niliwaambia wana utopolo kule mbele manywele alikuwa hapati msaada na aziza kinabo na musonda ni mizigo.
Alipoingia shua boi na sokwe morisokwe angalau wanauto wakabadilika.
Kibwana shomari na dick ni wafupi kama stuli hawafai wale pia ni mizigo likija suala la faulo na kona.
Uto toka mashindano yaanze jana mmekutana na mpinzani wa kweli wale wa nyuma wote ni midebwedo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boss wake mama Ake alimwacha kweli
usikute hua anakuja na mwanae hajui
HakikaNabi sometimes huwa anachelewa sana kufanya sub na labda jana atakuwa amejifunza kitu.
Utacheza wewe?bingwa kwa 50%? Hahaha. Kwamba jana walitoka sare 0-0? Hivi una akili timamu au unakurupuka? Kwa mpira waliocheza waarabu hapa na kiwango duni cha utopolo kule ni 3-0!
Inaumiza sanaAnalipwa milioni 25. Na Feisal alikuwa analipwa milioni 4
Hata Simba yetu...yule Sambaloketo huwa natamani nimmeze..mtu anaona mchezaji amechoka mpk anatoa mate ila hafany sub...labda wanakua wana imajini wamefunga tayari 😆 😆 😆Nabi sometimes huwa anachelewa sana kufanya sub na labda jana atakuwa amejifunza kitu.
Wewe Ni mshamba na mpuuziUmesema kweli. Japo mimi nilikuwa nashabikia waarabu lakini niliwaambia wana utopolo kule mbele manywele alikuwa hapati msaada na aziza kinabo na musonda ni mizigo.
Alipoingia shua boi na sokwe morisokwe angalau wanauto wakabadilika.
Kibwana shomari na dick ni wafupi kama stuli hawafai wale pia ni mizigo likija suala la faulo na kona.
Uto toka mashindano yaanze jana mmekutana na mpinzani wa kweli wale wa nyuma wote ni midebwedo.
Wameshamsahau onyango wao yeye alikua anatoa boko na kulisha hadi goli, na si ya mechi moja lakini kocha alikua hamuachi kwenye fest ileven.Kuna muda mashabiki mnapaswa kuwa na shukrani, mpira ni kama kitu kingine chochote kile kuna siku utaamka vizuri na kuna siku mambo yanaweza kuwa sio hivyo lolote laweza kutokea, sidhani kama kuyumba kwa siku moja kunaweza fanya mtu umtoe thamani kana kwamba hafai, mimi nina hakika kuna mengi ya kujirekebisha ambayo yamefanywa na wachezaji wote ikiwemo kwa baadhi ya wachezaji kukosa magoli ya wazi kitu ambacho nafasi ingetumiwa ingekua ni jambo la manufaa kwa timu
Cha msingi ni kuwa wameteleza, wajipange upya, wakafanye maajabu ugenini na warejee na kombe
Magoli gani yaliyokoswa zaidi ya lile LA mayele lililopita kwenye chaki had nje?Kuna muda mashabiki mnapaswa kuwa na shukrani, mpira ni kama kitu kingine chochote kile kuna siku utaamka vizuri na kuna siku mambo yanaweza kuwa sio hivyo lolote laweza kutokea, sidhani kama kuyumba kwa siku moja kunaweza fanya mtu umtoe thamani kana kwamba hafai, mimi nina hakika kuna mengi ya kujirekebisha ambayo yamefanywa na wachezaji wote ikiwemo kwa baadhi ya wachezaji kukosa magoli ya wazi kitu ambacho nafasi ingetumiwa ingekua ni jambo la manufaa kwa timu
Cha msingi ni kuwa wameteleza, wajipange upya, wakafanye maajabu ugenini na warejee na kombe
Hahahahaaa na kigari kinakuja kupack uwanjani Kwa muda mrefu utafikir daladala za Usa riverNabi atakuwa ball boy kama kule sudan🤣🤣🤣🤣 kila akichukia mpira arushe ndani mchezaji kadondoka anasubiria matibabu🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa na kigari kinakuja kupack uwanjani Kwa muda mrefu utafikir daladala za Usa river
Wewe Ni mshamba na mpuuzi
Kuwaita wachezaji majina ya ajabu hivyo inaonyesha wewe Ni mtu wa aina gani Acha dharau mkuu
acha uduwanzi basi we kilaza.... Wewe umeniandika kwa heshima hapo? Nyang'au mmoja wee..!Wewe Ni mshamba na mpuuzi
Kuwaita wachezaji majina ya ajabu hivyo inaonyesha wewe Ni mtu wa aina gani Acha dharau mkuu
OKacha uduwanzi basi we kilaza.... Wewe umeniandika kwa heshima hapo? Nyang'au mmoja wee..!
Sema tenaaaaaaaaa!Kipindi cha kwanza ni kama Yanga walicheza wakiwa pungufu. Aziz Ki alikuwepo uwanjani kutimiza idadi ya wachezaji 11 lakini hakuwepo kabisa mchezoni. Ieleweke kiwango kibovu alichokionyesha dhidi ya USM Alger ni mwendelezo wa kiwango duni anachokionyesha ukiacha mechi chache zinazofanya watu wasahau mapungufu yake.
Aziz ni mchezaji wa matukio kama faulo na kupiga mijishuti ambapo siku akiamka vzr hufunga zaidi ya hapo hana lolote la maana.Inakuaje mchezaji wa level zake anashindwa kuzima mpira au kutoa pasi? Mara moja au mbili sawa,lakini yeye kila mpira akipewa anapoteza mara kaanguka mwenyewe mbaya zaidi anacheza namba 10 ikiwa ni sehemu muhimu kwenye kutengeneza mashambulizi. Kweli namba 10 km Aziz ni vipi mipira inaweza kuwafikia wafungaji?
Kipindi cha kwanza hadi kinaisha yeye ndie mchezaji alieongoza kupoteza pasi na kunyang'anywa mipira uwanjani. Kukaba hakabi,akipoteza mpira anatembea,sijapata ona namba 10 mbovu km huyu. Jana Nabi kajifunga mwenyewe kwa kuchelewa kufanya mabadiliko hasa kwa Aziz. Ili ushinde fainali lazima uwe na wachezaji 11 uwanjani wanaotimiza majukumu yao angalau kwa asilimia 80 na kuendelea. Jana Aziz kaonyesha kiwango kisichozidi 20%. Very very poor performance. Kwanini Nabi aliendelea kumwacha uwanjani hadi karibu dk ya 70?
Najiuliza kwa ubovu aliounyesha jana Aziz vipi km ingetokea kwa wachezaji wetu wa ndani km Kibu Denis,Mzamiru,Zawadi Mauya,au Mwamnyeto. Huenda jana ndo ingekua siku yake ya mwisho kucheza Yanga. Kasumba yetu ya kupenda wageni na kuwadharau wachezaji wa ndani ndio inafanya mtu km Aziz aongoze kulipwa mshahara mkubwa lakini uwanjani ni mzigo.
Mwisho,kwa jana Nabi kajifunga mwenyewe kwa kuchelewa kufanya mabadiliko. Kipindi cha pili tu kilipoanza alitakiwa kufanya mabadiliko ya haraka hasa kwa Aziz na Tuisila.
Kwa haya matokeo No doubt Yanga kaumaliza mwendo, kama hamuwajui "Ball boys"wa warabu safari hii mtawajua.