Aziz Ki ni mzigo, anavumiliwa kwasababu ni mgeni

Ball burudani litatandazwa Algeria mpaka mshangae mpaka sasa Yanga bingwa kwa 50%
bingwa kwa 50%? Hahaha. Kwamba jana walitoka sare 0-0? Hivi una akili timamu au unakurupuka? Kwa mpira waliocheza waarabu hapa na kiwango duni cha utopolo kule ni 3-0!
 
wachezaji wa yanga hata kukaa na mpira sekunde 5 hakuna aliyekuwa anaweza mpaka alipoingia morisokwe, angalau akaweza kumiliki mpira. Angalia goli la pili yule jamaa kakimbia na mpira muda gani, alipita watu wangapi mpaka akafunga. SASA JUMAMOSI MTAJUA HAMJUI.
 
Bila Aziz K kushinda kule Tunisia mngefika hukooo?!!kuweni na shukrani Nyie ukweli USM waliwazidi bwanaaa ...Yanga ni underdogs mwaka huu mlipata mtelezi mnoooo na msipochukua ndo baasi tenaa
Kula kisheti hapo shuleni afu tuma bill
 
bingwa kwa 50%? Hahaha. Kwamba jana walitoka sare 0-0? Hivi una akili timamu au unakurupuka? Kwa mpira waliocheza waarabu hapa na kiwango duni cha utopolo kule ni 3-0!
Utopolo wenye akili watatu tu mzee kikwete, manara sr na manara jr. PERIOD
 
Bila Aziz K kushinda kule Tunisia mngefika hukooo?!!kuweni na shukrani Nyie ukweli USM waliwazidi bwanaaa ...Yanga ni underdogs mwaka huu mlipata mtelezi mnoooo na msipochukua ndo baasi tenaa
Hawa ni makolo wenzako Yanga hawana mambo ya kupiga kelele hovyo kea wachezaji wao.
 
[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]haya bwana
 
Umesema kweli. Japo mimi nilikuwa nashabikia waarabu lakini niliwaambia wana utopolo kule mbele manywele alikuwa hapati msaada na aziza kinabo na musonda ni mizigo.

Alipoingia shua boi na sokwe morisokwe angalau wanauto wakabadilika.

Kibwana shomari na dick ni wafupi kama stuli hawafai wale pia ni mizigo likija suala la faulo na kona.

Uto toka mashindano yaanze jana mmekutana na mpinzani wa kweli wale wa nyuma wote ni midebwedo.
Job alipewa mzungusho mmoja hadi akaangukia makalio chini ndiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlimuonea hurumaaaa.
 
Nabi atakuwa ball boy kama kule sudan[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila akichukia mpira arushe ndani mchezaji kadondoka anasubiria matibabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo roho mbaya zimetujaa. Hatutaki mwanetu alipwe vizuri. Ukiwauliza kwa nini watakwambia ah atatutombea dada zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa huyo aziz kii hawatombeii mashangazi zao?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si Feisal mlimwona amerubuniwa kulalamika? Endeleeni kuwalipa vizuri wageni mkidharau wanenu. Na bado IBRAHIM BENZAZA anenda kuwapiga tukio kule Algiers ili mpoteane kabisa, kenge wa kijivu nyie!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huyo aziz kii hawatombeii mashangazi zao?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ah wewe bwana sii umeona yule mmoja picha imesambaa mtandaoni anampa namba mualgeria akachakate mbususu. kwa hiyo ata nyie warembo mpo tayari kuwapa mbusus wageni kuliko sie malocal
 
ah wewe bwana sii umeona yule mmoja picha imesambaa mtandaoni anampa namba mualgeria akachakate mbususu. kwa hiyo ata nyie warembo mpo tayari kuwapa mbusus wageni kuliko sie malocal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga sawa wamefika fainali lakini tukiangalia kiubora waarabu wako juu kabisa.

Nilisema kabla ya mechi kwamba Yanga kwa ile backline iangalie sana na ndio imewaua na ndio inaenda kuwaua huko Algeria kwani kwa washambuliaji wenye kasi mabeki wa Yanga hawawezi ku-cope nao na ndicho kilichowaua hata kwenye mechi yao na Simba ya 2-0. Mtaniambia tarehe tatu.
 
Umesema kweli. Japo mimi nilikuwa nashabikia waarabu lakini niliwaambia wana utopolo kule mbele manywele alikuwa hapati msaada na aziza kinabo na musonda ni mizigo.

Alipoingia shua boi na sokwe morisokwe angalau wanauto wakabadilika.

Kibwana shomari na dick ni wafupi kama stuli hawafai wale pia ni mizigo likija suala la faulo na kona.

Uto toka mashindano yaanze jana mmekutana na mpinzani wa kweli wale wa nyuma wote ni midebwedo.
Na ikitokea mambo yakawa tofaut na matarajio yenu.. msije mkabadili kauli
 
Back
Top Bottom