Aziz Ki ni shemeji mtalajiwa πŸ˜‚

Huyo mtu kaoa anawatoto na hawa watu sio vichwa laza kama watz ni wanaakilizoa
Kwani ukioa mkeo anatembea na mashine yako? yaani mke yupo ivory coast uko mwamba yupo tz hawaonani miezi kibao halafu unasema nini wewe. Calinyos kaja Tanzania kucheza yanga akiwa ameoa na kachukua sana mademu kidimbwi pale.
 
Lakini hajaoa mtu
 
Unatamani ingekuwa wewe ndio umepigwa mimba eti Dada. Pole
 
Hayo ni masuala binafsi.

Tulisema wewe unali.wa kiboga utakataa?
 
Daah watu kiboko mnafatilia hadi mimba za mtaani na kuwapa Wachezaji..
 
Momo said it in wasafi fm . Dont be stupid
Ungeandika tu kiswahili hakuna maana yeyote hapo mnaharibu lugha za watu msizozijua si bora uandike kindengereko chako tu...hapo Ras Simba kakwambia andika andika tu utajua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…