Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kwani ukioa mkeo anatembea na mashine yako? yaani mke yupo ivory coast uko mwamba yupo tz hawaonani miezi kibao halafu unasema nini wewe. Calinyos kaja Tanzania kucheza yanga akiwa ameoa na kachukua sana mademu kidimbwi pale.Huyo mtu kaoa anawatoto na hawa watu sio vichwa laza kama watz ni wanaakilizoa