Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Fundi Mchundo,Ubalozi katika nchi za Scandinavia ni mmoja tu. Balozi aliye Stockholm anawakilisha nchi za Scandinavia na Baltic. Hivi inawezekana kweli dual citizenship ikawa ni tatizo au kuna lingine?
Huyu Aziz ni nani lakini?
Amandla......
Fundi Mchundo,
Sijui kwa nini Mwanakijiji ameamua kutomwaga mtama wote ukumbini. Hakuna lingine zaidi ya dual citizenship. Namwachia Mwanakijiji atujuze zaidi.
Halafu GT anadai anachukua style za Mwanakijiji!Amechukua style za GT!
hapa ndiyo tatizo la uraia wa nchi mbili labda pia litaonekana. Je, tuko tayari rais wetu awe ni raia wa Tanzania na Kenya at the same time? au wa Rwanda na TZ at the same time au nchi nyingine yoyote? Vipi kuhusu Ubunge, Uwaziri, Ukuu wa Jeshi, vyombo vya usalama n.k?
Ooh jamani,ameukosa hivi hivi!sasa kama sababu ni hizo hilo pemdekezo lilitokaje wakati hakuwa na sifa?
Mwanakijiji,
..mbona tumeshawahi kuwa na Jaji Mkuu ambaye siyo Mtanzania wakati wa utawala wa Mwalimu?
..Herbert Chitepo, raia wa Rhodesia, na Raisi mwanzilishi wa Zanu-PF, aliwahi kuwa DPP.
..kuna jamaa mwingine anaitwa Akena alikuwa DCI sina hakika kama alikuwa raia wa Tanzania.
jokaKuu,Mwanakijiji,