Aziza ameongezewa asilimia ngapi ya mshahara?

ipo siku aziza atashinda SPORTPESA Million 230000000, atamwajiri boss wake [emoji16] [emoji91] [emoji23]
 
Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.

2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
Dah...mie naomba namba ya Aziza nimuulize kwanza kama ni kweli ameongezewa 🙂
 
Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.

2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
20%
 
Hili ni soma gani? Sayansi Kimu au Siasa?
 
Mimi nilidhani kuna fasihi zinataka kutiririka maana ninavyokujua kwa nondo zako hill swali si la kuletwa na wewe.. Labda ulitaka kujua kuwa kuna watu hat hesabu za darasa la tano ni mgogoro ila kwa matusi hawako haba. Socrates alikuwa akitembea na taa ya kandili mchana Sokoni ,akaulizwa vipi? Akajibu eti kuna watu hata jua la mchana hawaoni. Ndiyo hesabu hiyo ninavyoiona ,ila kama ni fasihi hapo bado wengi tumepotezwa.
 
Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.

2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
Wanamwonea Aziza kwa huo mshahara. Kama halalamiki atakuwa anakuja dukani na dawa zake[emoji12] [emoji12].
 
Mkuu tikipeana mazoezi hata hesabu za kupungua 20% ya bei la shati dukani halitatuumiza vichwa.
 
Kwa hiyo vichwa vikichoka tunacheza magida magida na nyimbo za vidudu kama hizo ili kujiandaa kwa great thinking . salute madame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…