1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
ipo siku aziza atashinda SPORTPESA Million 230000000, atamwajiri boss wake [emoji16] [emoji91] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...mie naomba namba ya Aziza nimuulize kwanza kama ni kweli ameongezewa 🙂Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.
2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
20%Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.
2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
Hili ni soma gani? Sayansi Kimu au Siasa?Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.
2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
Wanamwonea Aziza kwa huo mshahara. Kama halalamiki atakuwa anakuja dukani na dawa zake[emoji12] [emoji12].Aziza anauza duka la dawa huko Sinza kwa wajanja. Analipwa shs 1500 kwa kutwa. Aziza ni mcheshi sana na anaimudu kazi yake.
2018 hii boss wake ameamua ampe sh 1800 kwa kutwa. Aziza ameongezewa % ? Ya mshahara wake?
Mkuu tikipeana mazoezi hata hesabu za kupungua 20% ya bei la shati dukani halitatuumiza vichwa.Mimi nilidhani kuna fasihi zinataka kutiririka maana ninavyokujua kwa nondo zako hill swali si la kuletwa na wewe.. Labda ulitaka kujua kuwa kuna watu hat hesabu za darasa la tano ni mgogoro ila kwa matusi hawako haba. Socrates alikuwa akitembea na taa ya kandili mchana Sokoni ,akaulizwa vipi? Akajibu eti kuna watu hata jua la mchana hawaoni. Ndiyo hesabu hiyo ninavyoiona ,ila kama ni fasihi hapo bado wengi tumepotezwa.