Azizi ki amvulia kofia Chama

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
“Hata yeye mwenyewe (Aziz Ki) tukiwa hotelini Tunisia aliwahi kunifuata na kuniambia anashangaa namna ambavyo vyombo vya habari vimekuwa vikijaribu kumlinganisha na Clatous Chama huku akiamini Chama alikuwa mkali zaidi yake. Na kwa sababu hiyo ndiye mchezaji pekee wa Simba ambaye anayemfuatilia katika mtandao wa Instagram.” - Edo Kumwembe, Mchambuzi
 
Wakati mwingine tupunguze mahaba ya Wachezaji kisa nashabikia timu fulani. Aziz Ki hajafikia hadhi ya Chama hata kwa 20%. Chama ana misimu zaidi ya 4 kiwa kwenye Peak, kesha onja Soka la Ushindani Zambia, Tanzania, Moroco nk.

Cham ni mchezaji anatumia akili na arts kwenye uchezaji wake. Aziz Ki akili kiasi n Nguvu 100%. Yanga ndio 2nd Klabu yake, huu ni msimu wake wa pili hatujui mwendelezo wake. Kwahiyo tuache kulinganisha IST na BAJAJ. Ki asubiri 2025 ndipo tumlinganishe na Chama.

Chama wa WIDA War in Dar, Chama wa Do or Die uje umlinganishe na huyu mpiga nyento wa Wagadugu?? Lets be fair pls
 
Yani we kolo huna akil hata robo,wanalinganishwa sababu hii ndio misimu wote wapo bongo, battle hili ni ndani ya msimu, hayo mambo yako ya zilipendwa sio mahala pake,chama ni mzuri ndio lakn msimu huu mpk sasa key yuko juu
 
Shabiki maandazi
 
Edo ni mpumbavu tu ,anayeaminiwa na wapumbavu.

Na anapenda sana kumjadili Aziz Ki, iwe redioni iwe kwenye makala zake utafikiri alimchukulia demu.
 
Sure kavua, Jpili atavaa lakini
 
Hapo WIDA War in Dar siikumbuki, ilikuwaje?
 
ww ndio bure kabisa.
 
Chama afikii career ya aziz ki kwenye kwa vilabu,ki kacheza hadi ulaya kwa taarifa yako
 
Ongeza sauti mkuu
 
Edo ni mpumbavu tu ,anayeaminiwa na wapumbavu.

Na anapenda sana kumjadili Aziz Ki, iwe redioni iwe kwenye makala zake utafikiri alimchukulia demu.
Usisahau pia kuwa edo ni mwanachama hai kabisa wa utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…