XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
“Hata yeye mwenyewe (Aziz Ki) tukiwa hotelini Tunisia aliwahi kunifuata na kuniambia anashangaa namna ambavyo vyombo vya habari vimekuwa vikijaribu kumlinganisha na Clatous Chama huku akiamini Chama alikuwa mkali zaidi yake. Na kwa sababu hiyo ndiye mchezaji pekee wa Simba ambaye anayemfuatilia katika mtandao wa Instagram.” - Edo Kumwembe, Mchambuzi