Iko wapi voice note....
😆 😆 😆
Ila hili linaweza kuwa na ukweli fulani,mtu kama Diaara sijui,namkali wao mamelod😁Azizi hatunae next season
Mamelodi wakimchukua Aziz wamchukue na yule kocha msaidizi kama kifungashio halafu wakamfanye msafisha vyoo.Ila hili linaweza kuwa na ukweli fulani,mtu kama Diaara sijui,namkali wao mamelod😁
Kaa mbali na utani kama kila kinachoongelewa kwako ni nongwa..Watu msio na chochote mpo negative sana, jibiidishe utafanikiwa na utaacha kudharau kila kitu watu wamasema
Hatumtaki mguu kigimbi....akae huko huko Utowizard...Makolo wanafanya kampeni kimya kimya kumwiba azizi kii,anayeeoongoza kampeni ni semaji kama semaji la kolowizard🤣
Wakati mamelod wanapanga kumkwiba,kolo na semaji lenu na boss wote mabahili😁Hatumtaki mguu kigimbi....akae huko huko Utowizard...
Acha wivu weweeee😅Mamelodi wakimchukua Aziz wamchukue na yule kocha msaidizi kama kifungashio halafu wakamfanye msafisha vyoo.
Diarra haendi popote mpaka atakapoacha kuvaa kata nduku
Mamelodi tumchukue Aziz Ki, hawezi lishwa ugali wa chumvi kule AVIC wakati wapo watu wa kumpatia Lobster na affron,paella na risotto.“Kocha Rulani Mokwena alinifuata na kuniambia wewe ni mchezaji mkubwa sana na una kila sifa. Una nguvu na una umiliki mzuri wa mpira miguuni mwako,akanishauri niongeze uharaka eneo la ushambuliaji ili kuwa bora zaidi."
"Amenisisitiza kufanya hivyo akiamini kuwa pia naweza na nitakuwa bora zaidi kwa kuwa na namba nzuri ya ufungaji na hili nitalifanyia kazi”
©️ Stephane Aziz Ki
Haendi popote hapo alipo ulimeta wewe?Mamelodi wakimchukua Aziz wamchukue na yule kocha msaidizi kama kifungashio halafu wakamfanye msafisha vyoo.
Diarra haendi popote mpaka atakapoacha kuvaa kata nduku
Hawa wana uwezekano mkubwa wa kufanya vizuri hadi sokoni.Ila hili linaweza kuwa na ukweli fulani,mtu kama Diaara sijui,namkali wao mamelod😁
Mkuu mbona nahisi kama Aziz ki hawezi fit kwenye mfumo wa mamelod sundownsMamelodi tumchukue Aziz Ki, hawezi lishwa ugali wa chumvi kule AVIC wakati wapo watu wa kumpatia Lobster na affron,paella na risotto.
Time will tell.Mkuu mbona nahisi kama Aziz ki hawezi fit kwenye mfumo wa mamelod sundowns
Kulingana na maelezo ya mwasibu OKW BOBAN SUNZU , Aziz Ki ni hasaraSheikh adriz na Mwasibu nguli OKW BOBAN SUNZU , maoni yenu tafadhali juu ya hii kauli ya Aziz Kii.
Aziz funguo aliongeza mkataba juzi juzi tu, mamelod wakimtaka hawana budi kuvunja benkiHapana sio ilo mbona mokwena yy kasema kua anajua mkataba wako unaisha mwezi 7.kakupatia ofa ya kwenda kujiunga nae.
All the best