Azizi Ki: Kocha Rulani Mokwena alinifuata na kuniambia wewe ni mchezaji mkubwa sana na una kila sifa. Una nguvu na una umiliki mzuri wa mpira miguuni

Azizi Ki: Kocha Rulani Mokwena alinifuata na kuniambia wewe ni mchezaji mkubwa sana na una kila sifa. Una nguvu na una umiliki mzuri wa mpira miguuni

Ila hili linaweza kuwa na ukweli fulani,mtu kama Diaara sijui,namkali wao mamelod😁
Mamelodi wakimchukua Aziz wamchukue na yule kocha msaidizi kama kifungashio halafu wakamfanye msafisha vyoo.

Diarra haendi popote mpaka atakapoacha kuvaa kata nduku
 
“Kocha Rulani Mokwena alinifuata na kuniambia wewe ni mchezaji mkubwa sana na una kila sifa. Una nguvu na una umiliki mzuri wa mpira miguuni mwako,akanishauri niongeze uharaka eneo la ushambuliaji ili kuwa bora zaidi."

"Amenisisitiza kufanya hivyo akiamini kuwa pia naweza na nitakuwa bora zaidi kwa kuwa na namba nzuri ya ufungaji na hili nitalifanyia kazi”

©️ Stephane Aziz Ki
Mamelodi tumchukue Aziz Ki, hawezi lishwa ugali wa chumvi kule AVIC wakati wapo watu wa kumpatia Lobster na affron,paella na risotto.
 
Hapana sio ilo mbona mokwena yy kasema kua anajua mkataba wako unaisha mwezi 7.kakupatia ofa ya kwenda kujiunga nae.
All the best
Aziz funguo aliongeza mkataba juzi juzi tu, mamelod wakimtaka hawana budi kuvunja benki
 
Back
Top Bottom