Hamisa Mobeto ni Simba kindakindaki. Simba inapofungwa anakosa amani hadi kuugua na furaha yake ni pale Simba inaposhinda. Tofauti na ilivyo kwa Aziz Kii ambaye hana ushabiki kwa Yanga wala Simba, yeye yupo nchini kwa maslahi (ajira). Hivyo hata ifungwe Yanga yeye haitamuumiza, ataonyesha masikitiko kwa kuzuga tu.
FURAHA NA AMANI YA FAMILIA NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.
Tunasema family first
FURAHA NA AMANI YA FAMILIA NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA.
Tunasema family first