Tate Mkuu hivi hiyo picha hapo ni wewe au.
Una ushahidi ganiSimba inapofungwa anakosa amani hadi kuugua na furaha yake ni pale Simba inaposhinda.
Wanawake wote wa utopoloni, vyura wanakimbilia kuchukua pisi za Simba, inafikirisha sana.
Huyo kaweka tu picha ila sio yeye. Mzee gani macho yapo imara kiasi hicho. Fuatilia maandiko yake yote hakosei herufi hata mojaBabu unazeeka na uhandsome wako☺️