Azythromicin inatibu 'infections zinazowapata watu wenye VVU/UKIMWI

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Leo nimeambatanisha Karatasi inayothibitisha kuwa AZUMA ni dawa ya VVU/UKIMWI, karatasi hii nimeitoa moja kwa moja ndani ya dawa ya AZUMA(Azithromycin) na mahali nilipopigia mistari ndio kuna maelezo jinsi AZUMA inavyotibu VVU/UKIMWI. Naomba JF msifute hii post wala kuihamisha maana Post zingine mmezifuta za AZUMA na ili hali jambo hili ni la kweli na linauthibitisho. Ndimi DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.

CC....MSD, Wizara ya Afya, IKULU Tanzania.
 
Mkuu tatizo lako nafikiri ni lugha, Azuma ni azithromycin ambayo ni antibiotics kazi yake sio kutibu hiv bali inatibu magonjwa yaani infections zinazowasumbua watu wenye upungufu wa kinga mwilini
 
Kisandu acha ujinga.. Hiyo AZUMA inatibu hao bacteria waliko ktk wagonjwa wa HIV.. Meaning wagonjwa wa HIV wana infections nyingi kutokana na bacteria & virus.. So hiyo AZUMA inatibu Mycobacterium Avium ktk HIV patients... Ila sio INATIBU UKIMWI...!!

UJINGA ni mzigo mkubwa
 
Inatibu magonjwa ambayo maranyingi udhambulia wenye HIV kutokana na upungufu wa kinga... Magonjwa smbayo husababishwa na bacteria sio Virus
 

Attachments

  • Screenshot_20171125-100535.png
    147.8 KB · Views: 437

walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
 
Dr. Deo Kisandu ungefanya kutafsiri,hicho kifungu husika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…