Azythromicin inatibu 'infections zinazowapata watu wenye VVU/UKIMWI

Azythromicin inatibu 'infections zinazowapata watu wenye VVU/UKIMWI

Kisandu huyu ni mgonjwa akili wamesema inatiba ugonjwa fulani kwa carriers wa HIV na sio kama inatibu Ukimwi !!
Psychopathic JF utoeni huu uzi mtapata lawama na institutions zinazohusika statement ya kwenye prescription iko explicit
 
Kisandu angalia usija ukawa na tabia kama za babu wa loliondo uka sababisha watu wakafa bure
 
walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.

Hakuna ugonjwa wa UKIMWI kama lilivyo neno lenyewe Upungufu wa Kinga Mwilini (AIDS).

Kinga ya mwili ikipungua, mwili hushambuliwa na vidudu mbalimbali za magonjwa. Kinga ya mwili hupungua kwa sababu mbalimbali lakini siyo K
kwa kirusi cha HIV, kama tunavyoaminishwa na wanasayansi, ambao mpaka kesho wanabishana. Hata vipimo vinavyotumika kupima kuwepo na HIV katika mwili wa binadamu si vya uhakika. Pia, imethibitishwa kuwa si kila mwenye HIV kinga ya mwili wake hupungua na kusababisha hicho kinachoitwa UKIMWI (AIDS).
 
Back
Top Bottom