Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
- Thread starter
-
- #21
inatibu baadhi ya magonjwa nyemelezi yasababishwayo na na HIV
wamepona kwa maana kwamba baada ya kutumia hiyo Azuma wamepimwa wakaonekana wako HIV-?inatibu vyote mpaka UKIMWI, nimekwisha jaribisha kwa wagonjwa wengi tu na wamepona.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaniiwalikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
πππSasa mbona unabadili gear angani wakati umeleta hiyo karatasi kama uthibitishoπwalikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
inatibu vyote mpaka UKIMWI, nimekwisha jaribisha kwa wagonjwa wengi tu na wamepona.
Duh! Mbona huja publish findings zako kwenye journals za kueleweka ukawa na msaada kwako na kwa jamii?walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
Dr. Deo Kisandu ungefanya kutafsiri,hicho kifungu husika..
Dr. Deo Kisandu ungefanya kutafsiri,hicho kifungu husika..
Maombi tu aisee!Hamna namna tutafanyeje sasa!Kisandu sasa naona hali yako inazidi kuwa mbaya
walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
Heheheheee ameleta karatasi iliyokosewa kuhalalisha kilichokosewa! Ila yaishe!! Ameshabadilisha heading!πππSasa mbona unabadili gear angani wakati umeleta hiyo karatasi kama uthibitishoπ
KisanduDeo..??
Deo mambo yake anayajua mwenyeweHeheheheee ameleta karatasi iliyokosewa kuhalalisha kilichokosewa! Ila yaishe!! Ameshabadilisha heading!
walikosea tu, lakini mimi nimefanyia utafiti na kugundua kuwa inatibu.
Aongee vizuri na mshana jr maana siku hizi MziziMkavu amekuwa internationally.Deo mambo yake anayajua mwenyewe
Maziwa makuuKisandu..