Azzan Zungu, umetubebesha mzigo wa tozo watanzania

kaligopelelo

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
2,832
Reaction score
4,070
Wewe ndo ulipeleka bungeni kwa mara ya kwanza pendekezo hili la tozo. Umesababisha watanzania tuwe tunalipa kodi mara mbili mbili. Umefungua mlango ambao kila mtu mwenye roho mbaya na roho ya wizi waanze kupita kwenye mlango huo.

Nisiongee Sana niende tu moja kwa moja kwenye lengo. Binafsi ninakerwa sana na hizi tozo.

Natamani yakufike mabaya sana katika kipindi cha uhai wako kilichobaki kutokana dhamira yako hii mbaya uliyoileta nchini.

Najua una miaka 70 sasa, natamani Uzi huu ukufikie huko uliko na uusome. Natamani mwaka huu uwe mgumu Sana kwako na wapiga hela wenzako. Natamani udhalilike bungeni,ujinyee na wapigaji wengine wajiharishie kwenye suti zao.

Natamani ujidhalilishe bungeni uvue nguo. Viongozi wakubwa mnakera Sana.
 
Mwiguru ndio kiongozi wa hii mikitu. Halafu anatupiga kwenye tozo anapeleka kuendeshea litimu linaitwa singida. Tozo unamtoza mtu mtu hujamtengeneza ili azalishe.
 
Ma ccm mengi ni majinga tu. Mara kadhaa yamepitisha sheria mbovu, halafu mwisho wa siku sheria hizo hizo zinakuja kuwaumiza na wao wenyewe.

Hivi usikute hata lenyewe huko liliko linapitia maumivu kama ya kwetu. Zaidi tutatofautiana tu kiwango.
 
" Natamani yakufike mabaya Sana katika kipindi Cha uhai wako kilichobaki kutokana dhamira yako hii mbaya uliyoileta nchini.

Thanks Quote"
Duh kumbe ni kweli kuna babu yangu aliwahi kuniusia"ogopa sana roho za kimaskini,zimejaa chuki,makasiriko,visasi,hasadi na roho mbaya" sijui kwanini baada ya kusoma uzi huu nimejikuta naikumbuka nukuu hii ya babu yangu
 
Wewe unadhani ni roho za kimasikini? Hivi unaelewa hizi tozo zinavyoumiza watu au bado upo kwa babu yako unakula na kulala bure?

Tozo kuanzia simu hadi Bank ni mzigo mzito sana kwa raia. Kulalamika hivi sio umasikini, ni kuonyesha maumivu watu wanayopitia, watu wanaumia.
 
hivi umeelewa lakini nilichomjibu au umeona tu na wewe unijibu,Ok ipo hivi sikusema umaskini ila ni roho ya kimaskini kumuombea mtu mabaya na kumuonea wivu na kumchukia,kama ungeweza kutofautisha umaskini na roho ya kimaskini ungenielewa nilichokimaanisha kwa mujibu wa nukuu ya babu yangu,ni kweli tozo zinaweza zikawa zinaumiza lakini unafikiri mbadala wake ni nini,nchi zilizoendelea ndizo zinaongoza kwa kutoza kodi...hayo maendeleo unayoyatamani utayapata vipi bila kutozwa kodi
 
Sijui huu utaratibu wa viongozi waandamizi wa serikali kumiliki timu za mpira wanautoa wapi? Hii nchi imefikia kiwango Cha hovyo Sana,wajukuu wetu watatucheka Sana hapo baadae
 
Ma ccm mengi ni majinga tu. Mara kadhaa yamepitisha sheria mbovu, halafu mwisho wa siku sheria hizo hizo zinakuja kuwaumiza na wao wenyewe.

Hivi usikute hata lenyewe huko liliko linapitia maumivu kama ya kwetu. Zaidi tutatofautiana tu kiwango.
Wajukuu wetu watatucheka Sana hapo baadae, nadhani watatushangaa tulikuwa tunawezaje kuvumilia haya yote.
 
" Natamani yakufike mabaya Sana katika kipindi Cha uhai wako kilichobaki kutokana dhamira yako hii mbaya uliyoileta nchini.

Najua una miaka 70 sasa, natamani Uzi huu ukufikie huko uliko na uusome. Natamani mwaka huu uwe mgumu Sana kwako na wapiga hela wenzako. Natamani udhalilike bungeni,ujinyee na wapigaji wengine wajiharishie kwenye suti zao.

Natamani ujidhalilishe bungeni uvue nguo. Viongozi wakubwa mnakera Sana.
Thanks Quote"
Duh kumbe ni kweli kuna babu yangu aliwahi kuniusia"ogopa sana roho za kimaskini,zimejaa chuki,makasiriko,visasi,hasadi na roho mbaya" sijui kwanini baada ya kusoma uzi huu nimejikuta naikumbuka nukuu hii ya babu yangu
Sawa tajiri mla Tozo,kombamwiko wee
 
Wewe unadhani ni roho za kimasikini? Hivi unaelewa hizi tozo zinavyoumiza watu au bado upo kwa babu yako unakula na kulala bure?

Tozo kuanzia simu hadi Bank ni mzigo mzito sana kwa raia. Kulalamika hivi sio umasikini, ni kuonyesha maumivu watu wanayopitia, watu wanaumia.
Achana naye huyo, nadhani yeye ndiye masikini wa fikra au labda ni mnufaika wa tozo
 
hivi umeelewa lakini nilichomjibu au umeona tu na wewe unijibu,Ok ipo hivi sikusema umaskini ila ni roho ya kimaskini kumuombea mtu mabaya na kumuonea wivu na kumchukia,kama ungeweza kutofautisha umaskini na roho ya kimaskini ungenielewa nilichokimaanisha kwa mujibu wa nukuu ya babu yangu,ni kweli tozo zinaweza zikawa zinaumiza lakini unafikiri mbadala wake ni nini,nchi zilizoendelea ndizo zinaongoza kwa kutoza kodi...hayo maendeleo unayoyatamani utayapata vipi bila kutozwa kodi
Kuna mtu amekataa kulipa kodi? Kwenye Kila muamala mmoja inakatwa kodi + tozo, hii Tozo Sasa ndo tunaizungumzia hapa.
 
Back
Top Bottom