ricostersundi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 358
- 447
Kwani hatulipi Kodi?.Kila kitu tunachonunua kinakodi.ndio waongeze na tozo tena Kila sehem[emoji22][emoji22][emoji22]hivi umeelewa lakini nilichomjibu au umeona tu na wewe unijibu,Ok ipo hivi sikusema umaskini ila ni roho ya kimaskini kumuombea mtu mabaya na kumuonea wivu na kumchukia,kama ungeweza kutofautisha umaskini na roho ya kimaskini ungenielewa nilichokimaanisha kwa mujibu wa nukuu ya babu yangu,ni kweli tozo zinaweza zikawa zinaumiza lakini unafikiri mbadala wake ni nini,nchi zilizoendelea ndizo zinaongoza kwa kutoza kodi...hayo maendeleo unayoyatamani utayapata vipi bila kutozwa kodi