Azzan Zungu, umetubebesha mzigo wa tozo watanzania

Kwani hatulipi Kodi?.Kila kitu tunachonunua kinakodi.ndio waongeze na tozo tena Kila sehem[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Mzee Zungu popote ulipo ulaaniwe wewe na kizazi chako. CCM sijui kwanini hawapendi kujifunza kwa yaliyowapata kuanzia mwaka jana.... Msicheze na Mungu kabisa. Rais SAMIA acha mzaha na MUNGU kabla hajaamua kudeal na wewe.
 
Naibu Spika
Uione Hii, Halafu Utubu Chap
 
Ilala wanatuangusha sana achaneni nae huyu !.
Mamwinyi wamelala pale kipindi cha uchaguzi wakipewa 10,000/= za chai maandazi wanaridhika kama siyo mchanganyiko wa makabila Ilala ya leo ingekuwa kama Kongwa.
 
Hizi Tozo zinaumiza hasa hii ya bank na ile ukinunua Umeme pana VAT waswahili wameharibu sana hawa na Mama hata hasikii kitu wamevuruga ishu ya mafuta wamekuja bank sijui wanachoweza ni nini..
 
Sawa tajiri mla Tozo,kombamwiko wee
hapana mkuu tusifanye makasiriko,maisha hayajawahi kuwa mepesi tangu kuumbwa kwa dunia,zinaweza zikaja zama ukazikumbuka hizi zama na hutozipata tena kamwe,kikubwa cha muhimu panua akili na nguvu zako zote kupambania maisha yako na Mungu hamtupi mja wake ila malalamiko yatakukisesha furaha na amani siku zote
 
Duh huyu mzee anavyolaaniwa mwaka huu ukiisha bila mnyaazimgu kumpenda zaidi nitashangaa sana , kumbe watu mna hasira namna hii sasa simuingie barabarani ijulikane kwamba mambo yemekua tait
 
Hakuna mweupe mwenye nia njema na mweusi
 
  • Next time uishirikishe na akili yako kidogo!
  • Hizo nchi unazozisema hazina rasilimali za kueleweka. Zilianza kuiba rasilimali kwenye mabara mengine kuanzia 1400 huko, je Tanzania nayo haina rasilimali?
  • Je hizo unazozitaja kuna ufisadi na ufujaji wa mali kama huku?
  • Je hizo nchi unazozitaja viongozi wake wanaishi maisha ya kifahari kama huku?
  • Next time uishirikishe akili kidogo kabla ya kujibu.
N.B. Watanzania wengi wangejua bajeti ya chai kwa viongozi kwa siku au bajeti ya chakula cha msafara wa mwenge kwa siku wangelia mpaka Mungu ashuke kuwatembelea.
Hali tunayoipitia imeelezewa vizuri kwenye kitabu cha THE ANIMAL FARM cha George Orwell
 
Mwenye kuelewa na aelewe
 
hakika wewe ndio yakupasa ushirikishe ubongo wako katka hicho ulichojibu,sasa bajeti ya chai imekujaje hapa kwa mfano,ndio yaleyale narudia ni chuki na roho mbaya,ulitaka wasinywe chai?nakazia hakuna nchi inaendelea bila kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…