Azzan Zungu: Wanaoponda kwenye Mitandao hawakai Ilala. Wanakaa Kivule, Majimatitu na Bombambili

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mzee wangu Azzan Zungu anazeeka vibaya, kwani hawezi kuwasilisha hoja yake bila kuwabagua watu? Kwa takwimu gani alizonazo kuweza kuwatofautisha watu waliopo mtandaoni! Nimkumbushe kina Sarungi, Karume, 2014 na wengineo wengi sio wakazi wa huko alipopataja.

Azzan Zungu: Najua hawa wote wanaoponda ponda kwenye mitandao hawakai Ilala, wao wanakaa Kivule, Bombambili, Majimatitu. Sisi watu wa Ilala tunataka maendeleo.

Tunataka lami kwenye majimbo ya Mjini tuweze kuchangia pesa za kutosha tusaidie majimbo ambayo hayana uwezo, leo Ilala tunakusanya bilioni 1.1 kwenye ada ya kupaki magari tu kwa mwezi.
 
Hivi zungu akiwa guest huwa anaandika ni kabila gani?
 
Tatizo umeanza a attack Kwa Yule Mzee

So all your argument imekua biased
 
Anti Retroviral ukichanganya na sukari na pressure lazima ufyatuke akili tu.
 
Mirungi noma sana
 
Msema ni kweli mpenzi wa Mungu. Nyie wa Maji Matitu, Kisamvule mtulie na mtuachie Jiji letu sie wa Chanika.
 
Hiyo Kodi ya uzalendo wapelekee wanailala wako .usiyulete utumbo wenu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…