Azzan Zungu: Wanaoponda kwenye Mitandao hawakai Ilala. Wanakaa Kivule, Majimatitu na Bombambili

CCM inatoaga wapi hawa watu. Kwani hakuna watu wengine wa kuongoza? Mtu anapepesuka tu bado anakomaa na ubunge watu tuko milioni 60
 
Sina uhakika kama ni Hon Zungu aliyeongea hayo maneno maana nilitegemea ajibu hoja ya wabunge kupata hela nyingi sana pamoja na mafao wasiyo yachangia hata senti moja bila kukatwa kodo yoyote ile, hapo hapo anahamasisha serikali kukata wananchi wa kawaida kodi ya uzalendo kwenye simu na LUKU waakti wao hawatoi hata thumni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Hiyo ndiyo hoja ya msingi na siyo habari ya makusanyo ya parking za magari jimbo Ilala.
Common Hon Zungu, Please respond on main issue na siyo kututoa kwenye reli kiana
 
Zungu bange za uzeeni zinampeleka puta
 
Ametudhalilisha sana wazee wa Mission Quarter.
 
Kwahiyo Wananchi wa Ilala ndio wamemtuma, na anawadharau Wana Ilala kana kwamba hawajielewi.Ubunge wenyewe kapewa na Mwendazake zake ndio maana anajeur Sana.Subir wajumbe wamkate akajifie na stroke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…