B-12-XXL ya Clouds FM kibarua chake matatani

Yani we mleta thread sijui unawaza nin, hv unajua xxl mpka inaisha saa tisa wanaskika watangazaji wangap? na anayecontrol mzigo wote ni nan? na hv unajua kuwa dozen kile kipindi ni chake na yeye ndo alitoa wazo la kumleta kennedy amreplace fetty?
Sidhani kama anajua yote ayo
 
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.

Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios

Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.

Si kwamba B12 kamfundisha kazi Kennedy The Remdy,Kennedy alikuwa East africa radio ni mtangazaji mzuri sana tu
 
Anakwenda radio ngan mkuu.. maana kuacha kaz si mchezo mkuu..na radio kubwa km clouds. .
Siku aliyo tangaza anaacha kazi clouds alisema kua ameaacha kabisa kazi ya utangazaji ....akasema pia siku akitaka kurudi kwenye kazi ya utangazaji hatoenda radio nyingne yoyote kuomba kazi bali atarudi clouds hapo hapo kufanya kazi tena...ila hua anaenda pia mara chache chache hapo clouds kutoa hi kwa bdozen kwenye kipindi japokua sio muhusika tena ....ni hayo tu mkuu
 
Adam Mchonvu ndio master wa hicho kipindi wengine wote ni wasaidizi ( vijakazi )
 
Kwani B 12 hana maelewano mazuri na 'Madame Dracula" muke ya ze boss?kama wanaelewana basi hawezi ondoka
 
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.

Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios

Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
Fikra za wakina Mugabe na Museven za kutaka kufia ofisini!?
 
Clouds media ni zaid ya watangazaj hakuna bora kwa maboss pale yeyote anaweza kuondolewa bila kujali uwezo wake
Wameondoka wakina Captaiiin G habash,,Dinamarous,,anaweza kutolewa tuu
 
upuuuz
Ukiona unafanya kazi kwa mhindi akaja muhindi mwenzake akasema umfundishe kazi ujue baada ya mwaka mmoja huyo mhindi ndio atakuwa boss wako.

Kuna dogo anaitwa Kennedy The Remedy huwa anatangaza XXL na B Twelve, B 12 ndio anayemfundisha kazi. Kiufupi ni kwamba huyu dogo ndio anaandaliwa ili kumuondoa B twelve kwenye XXL, ni lazima ufikiri ili uelewe hili ninalolizungumza. B Twelve kama atakaa sana pale XXL basi mwaka ujao ndio mwisho na Kennedy The Remedy atakuja kuwa mtangazaji hiyo show. Rejea kilichomkuta Dina Marios

Wapo watakaopinga lakini naomba thread hii ibaki kama reference.
haiwezekan kenedy hayuko full parkage lugha za ajabu ajabu usela wa ar mwingi dozen katulia aboi mstaarabu ana iq ya kuuliza maswali kenedy kama mwehu adamu tu yuko vizur butsomethin is missing
 
Hahahaha Mkuu sidhani kama kuna mtu ana maneno ya ajabu pale kama Mchomvu sa ingine sijui ua anasahau kua yuko onair
 
Back
Top Bottom